Elections 2010 Kwanini dr slaa na vijana????

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa

JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?

Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna hii??

Je tamko lake linalokuja litaamasisha vijana?

Nawakilisha
 
Huna haja ya kufungua thread mpya kwa hili. Ipeleke Dr. Slaa live EATV.

Si lazima ufungue thread kila unapojisikia
 
Umeshindwa kuchangia ile ya EATV sasa unafungua mpya wakati mjadala ni ule ule. Tuzungumze kile alichokuwa anazungumza Slaa. Kama hujui habari za Melancholy, Sanguine, Choleric au Phlegmatic omba msaada. Very likely we ni choleric. Acha mambo haya bwana, rudi kwenye thread ya EATV changia huko.
 
Unamatatizo ya elimu km hilo jina lako..!! na kwavyovyote we ni kibabu so unathni nchi hii imeja waze!! kwenda zako huko!!
 
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa

JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?

Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna hii??

Je tamko lake linalokuja litaamasisha vijana?

Nawakilisha

unauliza makofi polisi kawe..subiri muone
 
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa

JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?

Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna hii??

Je tamko lake linalokuja litaamasisha vijana?

Nawakilisha

Hivi vitabu alivitunga siku nyingi kabla ya hata kuingia kwenye siasa, hata hivyo sioni tatizo la yeye kuwavutia vijana kwenye siasa maana yeye ni mwanasiasa, sasa ulitaka afanye nini?
 
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa

JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?

Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna hii??

Je tamko lake linalokuja litaamasisha vijana?

Nawakilisha

Kwa sababu vijana na Dr. Slaa.
 
Wewe Jeykey what ever your name is acha kutuletea habari zako za kisungura hapa. Wewe kwani umemwelewa vipi au unataka kuzua habari isiyo na msingi hapa. Huyu mtu mbona anakunyima sana raha wewe. Ulitaka azungumzie nini huu ufin..... wako wa mawazo usituletee hapa.
 
sasa unataka aongee na nani; na wazee? mada ilikuwa ni kuhusu vijana ameitwa ili aongelee vijana yeye kama mzazi na mtu ambaye alishaandika vitabu kuhusu vijana
 
Usiogope sana! Vijana wanalo la KUPOTEZA zaidi pindi taifa linachunwa kama mnyama hivi na wenye meno.

Dr Slaa hana cha kufaidi sana kwa KUZUNGUMZIA MALEZI BORA ya sisi Vijana. Sina uhakika kama Dr Slaa alifahamu kwamba 2010 atakujaibiwa KURA zake halali hata akatungia VIJANA vitabu ili WAMPENDE. Uhakika huo sina mpaka sasa.

Kupitia usoni mwako, koo yako ilivyokauka na maswali ya aina hiyo, napata shaka kwamba huko upande uliko wewe viti vyote vimekua vya moto, lakini kipindi sio mbali sana VIJANA tutatadai kilicho chetu mpaka kipatikane (KATIBA) bila vurugu. Leo kazungumzia MALEZI TU wa VIJANA tayari kivuli kinawakimbiza, ngoja Asasi za Kiraia na Jamii ya Wanataaluma (simba aliyelala) waje waanze kutia timu.
 
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa

JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?

Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna hii??

Je tamko lake linalokuja litaamasisha vijana?

Nawakilisha

Jeykeiwaukweli ni Ridhiwani!
 
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa

JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?

Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna hii??

Je tamko lake linalokuja litaamasisha vijana?

Nawakilisha

Malaria Sugu huchoki kujidhalilisha?Pumba tuuuuuuuuuuuu kila siku.
 
Back
Top Bottom