Kwanini Dr Slaa anatumia nguvu kudai KAtiba MPya??

Inashangaza sana kusikia watu wakimpongeza Rais kikwete kwa kuanzisha mkakati wa kuleta katiba mpya. Imekuwa ni jambi zuri kuwa ushahidi kama huu leo hii kila mtu anaweza kuuona na kujua kuwa ni Dr. Slaa ndie aliyeanzisha wito huu.
 
Huyu ni mchumia tumbo tu kama wengne,niachieni huyu mie namumudu,

Usimlaumu the Dr. ilaumu CDM kwa maana yeye anatumia nguvu ya CDM..ila msikilaumu CDM,walaumu watanzania kwa maana CDM kinatumia nguvu ya watanzania,na pia msiwalaumu Watanzani a walaumu mafisadi wenu kwa maana walikula na vipofu wakawashika mikono

saa hzi mnahaa ..na kweli hamna pa kwenda ni lazima tuwatie kati..Hata Martin Lutter King wakati huo wazungu hawakumwelewa ,walimwona anatumia nguvu nyingi...wewe na wenzako anzeni kuomba sasa
 
Chadema kupitia kwa Dr Slaa wanajianda kufanya maandamano kudai katiba na Ongezeko la umeme
je kwnini dR slaa anatumia nguvu kadai katiba?
Je anafaa kwenda jeshini maana ndo wanatumia nguvu wakiwa vitani

Hivi kuandamana ni kutumia nguvu? mi nilidhani ni haki ya kidemokrasia ikiwa kama yana kibali! tafakari upya
 
Back
Top Bottom