Kwanini Dr Mengi hakutaka kuwa mwanasiasa kama walivyo mabilionea wengine Rostam, MO na Manji?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,768
141,632
Nimemsikiliza Polepole akisema CCM ilipokuwa inakwama walimwendea Dr Mengi na aliwatatulia tatizo.
Kubenea naye akasema Dr Mengi alisaidia vyama vya siasa bila kuangalia itikadi.

Makonda akasisitiza alipoandaa tafrija ya viongozi wa dini ni Dr Mengi ndio aliyegharamia kalamu ile.

Ndiposa najiuliza kwanini Dr Mengi hakutamani vyeo vya kisiasa kama wale akina MO au Rostam Aziz?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa sababu ni Mchaga pekee duniani aliyekuwa akitoa misaada. Hii ni kwa mujibu wa RC Makonda😂😂😂🤣
 
Namkumbuka Dk. Omary Ali Juma...... na nnatafakari ingekuwaje 2005 angekuwa hai
 
Kuwa mwanasiasa ni kuwaje?
Sema alikuwa mwanasiasa ila hakuiwekea kipaumbele sana!

Nahisi kutobagua vyama vingine ni mbinu ambayo matajiri wengi wanaicheza!
Ili kesho na na kesho kutwa akiingia yoyote madarakani kuna kuwa hakuna fitna juu yake
 
Nimemsikiliza Polepole akisema CCM ilipokuwa inakwama walimwendea Dr Mengi na aliwatatulia tatizo.
Kubenea naye akasema Dr Mengi alisaidia vyama vya siasa bila kuangalia itikadi.

Makonda akasisitiza alipoandaa tafrija ya viongozi wa dini ni Dr Mengi ndio aliyegharamia kalamu ile.

Ndiposa najiuliza kwanini Dr Mengi hakutamani vyeo vya kisiasa kama wale akina MO au Rostam Aziz?

Maendeleo hayana vyama!
Ukikumbuka DHB (Darhotwire) utajua kama alitaka vyeo vya siasa ama laa. Ukitafakari kutafuta kwake uongozi Yanga unaweza pata jibu jingine...
RIP Mengi.
 
...Hao matajiri kwenye siasa wanafata kufahamika tu. No money coz they already had but mengi yake yalimtosha.
 
Back
Top Bottom