Kwanini Dkt. Bashiru na Makonda wamekuwa waungwana kwa kukaa kimya, lakini Harakaharaka yuko mbio sana

Makonda hata kuachia ofisi ya ukuu wa mkoa alijua perfectly what gona happen ...!! Anajua kila kitu na akaona the best option ni kukaa kimya mana ashajijenga kiuchumi Kwa kiwango cha kuridhisha
Kajijenga kiuchumi kivipi, acha upambe wa kishamba, sema keshaiba vya kutosha wakati wa utawala wa aliyekuwa akimlamba miguu.
 
Mweshimiwa Kakurwa ameishasema bungeni kuwa waliotaka kutufitinisha kama taifa wameshindwa. Wewe unataka nini zaidi ya maelezo haya?
 
Back
Top Bottom