kivipYote kwa pamoja
Lakini mkuu, kila mtu na imani yake, maadam hakudhuru basi sharti iheshimiwe, wahindu mpaka Leo wanaabudu nyoka, ng'ombe nk lakini bado imani yako inaheshimiwa mkuu,Acheni masuala ya kuturudisha kwenye matambiko usiku wa manane watu wakiwa uchi na sadaka za damu ifikie wakati waafrica tusiwe tena bara la giza
Kama unaamini huyo ni bora kuliko miungu ya mababu zetu, unatudhibitishiaje?Acha uhuni mkuu, tunataka dini inayomwabudu Mungu aliyejuu aliyeviumba viumbe vyote vilivyomo na visivyo onekana. Mungu aliyeumba mito, jua, nyota, mbingu, dunia.
Hizo dini zingine zinawaabudu watu, zinawaabudu mizimu ya mababu ambao wote hao waliumbwa na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi
Kwanza uchawi maana yake nini kwa tafsiri?swali lako nimekujibu tayari lakini, hizo dini za asili ni za kichawi chawi tu.
Hoja ashaweka, ila huna kichwa cha kutafakari, una kichwa cha kupandikiza mambo tuweka hoja sio kashifaa
dini mpaka hapa ilipo fika watu wamekufa wengi na inahistoria ndefu sanaHoja ashaweka, ila huna kichwa cha kutafakari, una kichwa cha kupandikiza mambo tu
Yaan wewe ni wakuonea huruma hujitambui ! Kwa akili yako Babu na bibi zako ni mizimu kweli? Hizi dini zitaangamiza waafrika!!swali lako nimekujibu tayari lakini, hizo dini za asili ni za kichawi chawi tu.
izo madhabau za wazee wetu zinatutesa sanaKiongozi eti kuzidharau dini zetu za kiasili ni kasumba''HAPANA SIWEZI NARUDIA TENA HAPANA''sitaki uniaminishe katika miungu Hivi unajua hizi madhabahu za ukoo jinsi zinavetesa watu wewe watu wanawekewa vikwazo wanashindwa kuishi katika ndoto zao kwa ajili ya maagano ya giza walioingia mababu zao miaka na miaka roho za magonjwa,ufukara,utasa/ugumba kwanini tuishi nje ya misingi ya baraka MUNGU alizotuwekea...Kilichotokea pale msalabani ni pigo kubwa kwa shetani(NA YOTE IMEKWISHA)Yani tumekombolewa rejea "Eeeh BABA WASAMEHE KWAKUWA HAWAJUI WALITENDALO" lakini sio kwamba shetani kafungwa minyororo la hasha hapana ndio maana ana hasira zaidi so usishangae mabaya yanayotekea.Nimechoka kidogo tupo pamoja
Kiongozi eti kuzidharau dini zetu za kiasili ni kasumba''HAPANA SIWEZI NARUDIA TENA HAPANA''sitaki uniaminishe katika miungu Hivi unajua hizi madhabahu za ukoo jinsi zinavetesa watu wewe watu wanawekewa vikwazo wanashindwa kuishi katika ndoto zao kwa ajili ya maagano ya giza walioingia mababu zao miaka na miaka roho za magonjwa,ufukara,utasa/ugumba kwanini tuishi nje ya misingi ya baraka MUNGU alizotuwekea...Kilichotokea pale msalabani ni pigo kubwa kwa shetani(NA YOTE IMEKWISHA)Yani tumekombolewa rejea "Eeeh BABA WASAMEHE KWAKUWA HAWAJUI WALITENDALO" lakini sio kwamba shetani kafungwa minyororo la hasha hapana ndio maana ana hasira zaidi so usishangae mabaya yanayotekea.Nimechoka kidogo tupo pamoja
Well said, umeeleza vizuri sana mkuu, kongolee!Utawala wowote ili ukue na uwe na nguvu unahitaji subjects.
Mechanism nzuri ya kuongeza subjects bila kutumia nguvu ya upanga au vita hence kupunguza gharama ni Dini.
Ukristo umejengwa kwenye utamaduni wa wakati huo kwa watu wa mashariki ya kati na baadae kuongezwa vionjo vya tamaduni za Kirumi.
Uislamu umebebwa na tamaduni za Arabia ya wakati huo. Mavazi, Chakula, Muziki vyoote vilikuweko na ulikuwa utamaduni wa watu wa Arabia.
Na vivyo hivyo kwa ubudha nk.
Leo dini inatugawa na kutumilikisha kwa taasisi mbalimbali.. RC wanajifungamanisha na Italia, German na Spain.. na hata mashirika yao ya kidini hayana uhusiano maana yako kufanya kazi kwa maslahi ya nchi mama.
KKKT- Uingereza, Anglican -Uingereza, Shia- Iran, Sunni -Arabia, Baptist-America, modern - protestantism (America), Orthodox -Greek and Russia woote wako na big followers in Afrika.. sending billions of dollars yearly kama sadaka to recipient countries...
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu!Well said, umeeleza vizuri sana mkuu, kongolee!
Nisahihishe kidogo tu Kkkt - German, maana muasisi wao Bishop Dr. Martin Luther alikuwa mjerumani, (sio uingereza).
Acha uhuni mkuu, tunataka dini inayomwabudu Mungu aliyejuu aliyeviumba viumbe vyote vilivyomo na visivyo onekana. Mungu aliyeumba mito, jua, nyota, mbingu, dunia.
Hizo dini zingine zinawaabudu watu, zinawaabudu mizimu ya mababu ambao wote hao waliumbwa na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi
Swadakta!Ahsante kwa ufafanuzi mkuu!
Afrika inakuwa drained na dini na vyuo vikuu vinatumika kuwacondition influential people ambao ndio wanaokuja kuongoza na kutawala... Ni mtego unaohitaji nguvu kuuvua.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
ukitaka kuelewa haya mabo rudi nyuma rudi nyuma anzia mwanzo nasema rudi nyumaa ukidandia kwa juu hutaweza kuelewa
Kiongozi eti kuzidharau dini zetu za kiasili ni kasumba''HAPANA SIWEZI NARUDIA TENA HAPANA''sitaki uniaminishe katika miungu Hivi unajua hizi madhabahu za ukoo jinsi zinavetesa watu wewe watu wanawekewa vikwazo wanashindwa kuishi katika ndoto zao kwa ajili ya maagano ya giza walioingia mababu zao miaka na miaka roho za magonjwa,ufukara,utasa/ugumba kwanini tuishi nje ya misingi ya baraka MUNGU alizotuwekea...Kilichotokea pale msalabani ni pigo kubwa kwa shetani(NA YOTE IMEKWISHA)Yani tumekombolewa rejea "Eeeh BABA WASAMEHE KWAKUWA HAWAJUI WALITENDALO" lakini sio kwamba shetani kafungwa minyororo la hasha hapana ndio maana ana hasira zaidi so usishangae mabaya yanayotekea.Nimechoka kidogo tupo pamoja
una jua kwann din ya kristo mwanzo haikuwepo africa. bali nchi za mataifa?Mwanzo wapi?
😎😎Achana na dini yako ukoo tu,kuna dini za wahindu,mabohora,budha n.k hizo ndizo mtoa mada anataka nazo zipiwe nafasi pia katika jukwaa la kitaifa.