Kwanini Diamond Platnumz hayumo top 20 ya wanamuziki matajiri Afrika?

Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Hahahah haha aise hadi mambo ya mondi
Umeleta ligi,yaani uko nje ya mada

Ova
 
Domo hana pesa na hana anachomiliki zaid ya shere kiduchu tu watu wanatumia jina lake kupanda ngazi ziko wapi diamond karanga
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Oya mzeebaba vepe tena,tuliza basi mchecheto....relax man,relax.
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Hata mm nimefurahi kama umechukia kunya ule
 
Back
Top Bottom