Kwanini Diamond hajawahi kufungiwa na YouTube kwa kosa la wizi wa nyimbo?

Chibu diii Chibu deee alikopi biti ya Baba lao ila aliruhusiwa na mwenye biti hiyo ila watu walivyokuja kuusikiliza wimbo wakaona jinsi Chibu alivyokopi biti wakamlalamikia kuusiana na kuiba biti.

Bila kujua hio biti aliipateje hivyo basi chibu maranyingi hua analalamikiwa na mashabiki nasio wamiliki.

Tukija kwenye suala la Jeeshi Harmonize yeye amelalamikiwa na mwenye aidia na sio mashabiki sijui utakua umenisoma kamanda, Madimba jr?
 
Tangu mwanzo siamini team Konde gang.Huyu Sijui Jembe ni Jembe bado saana!

Nahisi hata mimi "mshamba" kuna mbinu naweza kuwapa wakafika mbali ila hakuna huo uwezekano wa kupata nafasi hiyo.
 
Huwa anacopy kwa ridhaa ya wahusika.

Halafu uzuri akikopi huwa anapaisha hata ile original maana mashabiki wanajikuta wanaenda kuitafuta wenyewe pia na ile og. Ndio maana huwa hawamzingui maana anawapaisha pia.
 
Mondi ni mjanja sana na anajua anachokifanya ndoo maana anasonga,
kabla kufanya jambo kuna jambo kwanza lainatangulia kabla ya jambo husika kuwa jambo
 
Mbona nyimbo hazifanani kabisa management ya harmonize wangeenda ofisi ya youtube wakatoe malalamiko yako labda kama kiki
 
Chibu diii Chibu deee alikopi biti ya Baba lao ila aliruhusiwa na mwenye biti hiyo ila watu walivyokuja kuusikiliza wimbo wakaona jinsi chibu alivyokopi biti wakamlalamikia kuusiana na kuiba biti

bila kujua hio biti aliipateje hivyo basi chibu maranyingi hua analalamikiwa na mashabiki nasio wamiliki

Tukija kwenye suala la Jeeshi harmonize yeye amelalamikiwa na mwenye aidia na sio mashabiki sijui utakua umenisoma kamanda
sawa
 
Tangu mwanzo siamini team Konde gang.Huyu Sijui Jembe ni Jembe bado saana!
Nahisi hata mimi "mshamba" kuna mbinu naweza kuwapa wakafika mbali ila hakuna huo uwezekano wa kupata nafasi hiyo
he has no strategies
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom