Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,191
Swali.
Tangu serikali ya awamu ya 5 imeingia Madarakani imekuwa ikijinasibu kukusanya mapato juu ya malengo
Sasa budget deficity inatokeaje?
Kwanini tunakopa?
Kwa nini deni la taifa linapaa kila kukicha huku tukikusanya mapato juu ya malengo?
Je, uanzishwaji wa miradi hiyo mikubwa inakuwa ni sehemu ya bugdet ama ni utashi wa viongozi wetu?
Nakubali kurekebishwa!