Kwanini Dawa ya Kuoteshwa ya Mbeya ni ya Uongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Dawa ya Kuoteshwa ya Mbeya ni ya Uongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lawkeys, Mar 29, 2011.

 1. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa kwamba kuna kijana kaoteshwa dawa na marehemu mama yake. Kijana huyo ana dai kwamba dawa hiyo ina tibu maradhi sugu kama ukimwi, kisukari, nk. Kijana huyo anadai kwamba dawa hiyo ina nguvu sawa na ya babu wa Loliondo.

  Dawa hiyo pia inachemshwa na gharama yake ni Tshs 500 kama ile ya Babu.

  Inaweza ikawa vigumu kung'amua kiini macho cha dawa pacha hii lakini mtego wake mdogo tuu! Kumbuka mtego wake ni sawa tu na ule wa kijana wa Moshi aliye jinadi kuoteshwa dawa na marehemu bikira maria.

  Tegua mtego sasa

  Kwanza, huyu marehemu hatujui alikufa kwa ugonjwa gani au kwa ajali. Lakini, kama alikufa kwa ugonjwa flani alishindwa nini kujitibu mwenyewe kwanza mpaka akafa? Pili baada ya kufa katoa wapi ujuzi wa tiba kaburini?

  Biblia iko wazi

  Amini hutadanganyika, Mhubiri 9:5;

  Wafu hawajui neno lolote, na hawana ijara tena kwani kumbukumbu lao limeondolewa.

  Pia, Mwanzo 2, Mungu anasema utakufa hakika. Japo shetani alimdanganya katika Mwanzo 3 Hawa akamwambia hutakufa hakika bali utafanana na Mungu.

  Mtu aliyekufa hawezi kuwasiliana na watu walio hai. Lakini kwasababu watu wamekataa maandiko, shetani na pepo wachafu wamekuwa wakiwatokea watu katika sura za ndugu wao, ama katika sura ya maraika wa nuru au hata wanaimwita Bikira Maria. Huo ni uongo.

  Kwahiyo, ni rahisi tu! Ukisikia sijui Bikira Maria kanitokea au marehemu fulanu kaniotesha au wewe mwenyewe ukatokea na marehemu, kemea, ujue hilo ni pepo. Kisha sema, sidanganyiki.

  Pili

  Ukisikia Yesu kakanyaga ardhi hii popote pale, jua kuwa ni uongo kwani Yesu ataishia mawinguni, na hata gusa ardhi hii na kila jicho litamwona. Ukisikia vinginevyo kataa, sema Sidanganyiki.

  Mwisho

  Nayo kweli itakuweka huru!!!
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Babu kaoteshwa na 'mungu'
  Kijana kaoteshwa na marehemu.
  Moja imekaa 'kishirikina' zaidi, nyingine......
   
 3. D

  Deo bony Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa ana try to pull our legs coz marehemu huwa daima anahitaji kuombewa rehema, sa inakuwaje tena leo mfu anatoa usaidizi?
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kwa sababu iko mbali sana kutoka usawa wa Monduli.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huyu lawkeys ni mdini huyu ..... mi posdt yake yooote ni udini udini tu .....

  please mods delete this post .... hatred others faith
   
Loading...