Kwanini Darasa la 8 lilifutwa katika mfumo wa elimu?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,821
1,874
Habari wadau?
Hivi Kwani Mwanafunzi anakaa miaka Mingi anasoma tuu mwisho anamaliza hana ujuzi?
Kama zamani iliwezekana Kupunguza Madarasa kwanini Sasa hivi ishindikane?

Elimu yetu Primary 7years,Secondary 6years,Chuo 3/4 yrars Total 18 year Mtu anasoma Tuu Mwisho anakosa Ajira anakuwa Tegemezi na Muda Huo bado ni tegemezi tuu!
Mbona zamani Mpaka Mwaka 1966 Ndio Tanzania Wkafuta Darasa la 8!
Waliona Nini?
Kwanini Leo ishindikane kupunguza madarasa tukaboresha Technical skills?
 
Ni kweli aisee mda wa kukaa shule upungue

Life span ni ndogo ,changamoto ya ajira ni kubwa vijana wanashidwa kuishi na kuchelewa kuoa na kuolewa mwisho watazaa mtoto mmoja au wawil tayr washazeeka kuwatunza inakuwa changamoto na hivyooo umaskin unaendelea kizazi hadi kizazi

Ukweli ni kwamba kuna vijana washafika 30+ wanasubr ajira ili waweze kuanzisha familia na zinavyochelewa na wao wanachelewa kujipanga ,elimu wanazo lakin hazina manufaa mtaani
 
Serikali sijui Kwanini Inasita sana..
Ila Rais Samia Suluhu Hassan alishatoa Maelekezo nakumbuka kwa Waziri husika wa Elimu Kufikira Muundo wa Elimu na Haya Ma Miaka mingi kama Nakumbuka!
Inabidi Waziri Na Timu yake Waitishe Kongamano na Wadau wa Elimu kujadili hili na Kuja Kwanza Na Mfumo!
Mbona Mwaka 1966 Iliwezekana Kufuta Darasa la 8? Na Likikuwepo Kabla!
Sasa hivi Kuna Ugumu gani?Watoto wanazeeka na Kusoma wanachelewa kuoa kuolewa na Kutunza watoto!
Timu Iundwe iende Finland,Sweden then impe Report Waziri namna gani Ya Ku implement plan!
Raisi alishasema Hamna wa Kukumbushia!
 
Kinachotakiwa ni kuweka miundombinu ya kutoa elimu ya vitendo tangu shule za awali, tunaweza kuanzisha vitu kama karakana za ufundi, vitalu vya kufundishia kilimo, mifugo, uvuvi nk. And the good thing, hizi infrastures zinaweza kuwa shared kwenye eneo moja mfano kwenye kata ambapo shule ambazo zipo ndani ya kata zinaweza kupatumia kuwapatia wanafunzi maarifa kwa vitendo....which means wale watakaoishia kidato cha nne au cha sita tayari watakuwa na practical skills za kuwawezesha kuishi maisha ya kujitegemea....
 
Nikijaliwa Uhai mrefu mwanangu hatapitia mfumo wetu wa kipuuzi
 
Halafu nafasi yake bado haijazibwa , form 1 kwa kiswahili ni darasa la 9 , sasa inakuwaje la 8 linarukwa ?
 
Back
Top Bottom