Kwanini DADA zetu wengi vifua vyao vimechoka kabla umri wao.....na hawana watoto.......

Status
Not open for further replies.
Unacheza madume kuyanyonya wewe? Tena tunavonyonya na kupapasa zaidi ya watoto mpaka akitoka yanamuuma plus abortion kwanini yasilegeee na kuwa lapa kukimbilia saa kumi na mbili?
 
Kifua cha mwanamke kinakuaje mpaka unasema kimechoka?

Wengi wao hata kama wana mtindi bonge huwa ni six oclok,bt dah muda si mchache utaona kitu kinacheki ardhi badala ya kuwa kama mchongoma.alafu umri bado
 
Kuna mambo mengi yanachangia hili tatizo,kuanza mapenzi ukiwa na umri mdogo,unaweza ukawa umechelewa kuanza lakini baada ya kuanza ukawa hukamatiki,kuzaa pia huchangia kwa baadhi ya kina dada/mama,kutoa mimba,maumbile kwani kuna baadhi ya watu ndivyo alivyoumbwa yakitokeza tu yanaanza kuinama n.k
 
Kuna mwanamama mmoja aliwahi kusema kuwa kwa mabinti kuanza kutumia ile mifuko yao mapema sijui wanaita sidiria? Inayaathiri na kusababisha yadondoke mapema (sijui ukweli wake) Sababu mojawapo ambayo iko wazi ni kuwa wanaume wanayachangamkia sana kila wanapoyapatia nafasi + kutoa mìmba.
 
na nyinyi wanaume muache ku-double click. huku midomo 'imeshikana', mkono mmoja kule 'chini', mwingine kweny milkiz halafu wakati wa ile 'SH Motion' inaendelea unakuta mtu anaendelea pia na milkiz kwa lips zake. Hapo unategemea nini. Yaani mtu unatumia zaidi ya dk 20 za mahaba, kama sio mdomo uko kwa milkiz basi itakuwa ni mkono. Hapo usitegemee kuona ubora ukaendelea kuwa ule ule!
 
inaonekana we ni bingwa wa kuwafunua wadada zako (referring to the thread) vifuani. Imo ni maumbile tuu, coz wengine hata baada ya kuzaa bado ni dede, lol.

na wale ma dr mabingwa wa magonjwa ya wanawake ambao ni wanaume utawaitaje
 
na wale ma dr mabingwa wa magonjwa ya wanawake ambao ni wanaume utawaitaje

Umeshasema hao ni ma dr, sasa wewe ni nani hata uvijue vifua vya dada zako wengi? Mbona hao ma dr hawajasema kama vifua vimechoka? Kama una dada nyumbani kwenu, kajaribu kumuuliza labda utapata jibu la kuridhisha
 
hamna kwa hili swala mi nazani mavyakula haya tunayokula ovyo na madawa haya ndo chanzo kikubwa cha maumbile ya watoto wadogo kua kama wamama watu wazima, ata kama hatumiki unamkuta ana bonge la mnyonyo so si sbbu ya kutumika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom