Kwanini customer care ya mwanaume ni bora zaidi kuliko ya mwanamke?

Habari wanajamvi!
Hapa nimetoka kuongea na customer care wa offisi Fulani hivi(Naomba nisiitaje)
Kuhusu malalamiko ya account Yangu kutowezesha pesa kutoka .

Nilipiga simu Mara ya kwanza akapokea Mdada na mazungumzo yalikuwa hivi?

Customer care : Haloow...unaongea na ......naongea na nani Tafadhali!?
Me: Unaongea na ,,...............Niko......
Customer care: oky naomba nikusaidie.
Me: Ninashida hapa kidogo account Yangu imeshindwa kutoa pesa tangu Jana Sijui tatizo nini?
Customer care: kwanini zisindwe kutoka kuna mahali utakuwa umekosea .
Me: hapana Mi sijaanza Leo kutoa pesa Ni mzoefu ndio maana nakwambia hvyo.
Customer care: hiyo pesa itakuwa haipo Kwenye account yako!.
Naomba account number yako!.
Me!....############678
Customer care: Nimesharekebisha hapa jaribu kufanya mihamala tena!.nakutakia siku njema.

Baaada ya hapo ikashindikana nikapiga tena simu akapokea Jamaa saivi. Na maongezi yalikuwa hivi.

Customer care: halow unaongea na .....naongea na nan Tafadhali!...?
Me: unaongea na .......Niko..,.....
Customer care : Naomba nikusaidie Tafadhali!...
Me: Oky! Nimepiga simu mda sio mrefu hapo nilikuwa na shida .......1.2.3.
Lakini naona bado tatizo liko pale pale.
Customer care: Oky naomba account number yako Ndugu mteja...
Me: 2334444#####
Customer care: Naomba usubir kidogo usikate simu.
Me. Oky.
Customer care: Sawa sasa kulikuwa na shida kidogo ya kimtandao kwa watumiaji wa account za
### kuanzia Jana jion hivi hii inatokana na .....1.2.3. Mafundi wanashughurikia tatizo na muda mfupi tatizo litakaa sawa nimechukua namba yako pembeni nitakutaarifu kwa SMS tatizo likimalizika pole kwa usumbufu Ndugu.......
Me: asante sana kiongozi..
Customer Care: ulikuwa na tatizo lingine nikusaidie:
Me: hapana.
Customer care: nakutakia siku njema asante kwa kutumia Huduma zetu.

Hizo zilikuwa Ni conversation kati Yangu na customer care na mpaka saivi problem solved .
Sasa swali langu customer care wa kike huwa wanakuwa na stress za nini mpaka wanatoa majibu ambayo hayamshawishi mteja.

Customer
Kwanza naomba kudiklea interest mimi nimeshawahi kufanya kazi ya Customer care...
Sio kwamba namtetea huyo wa kwanza ila najaribu kuelewa situation yake, matatizo ya miamala huwa yanajitokeza mara nyingi hata kwenye mitandao ya simu, tatizo linaweza kuwa lako binafsi, linaweza kuwa ni la wateja wote au ni errors tu ndogondogo ambazo zinajitokeza hapa na pale.
Linapokuwa limetokea tatizo ambalo linawaface wateja wengi mtu wa customer care hawezi kutoa conlusion kuwa kuna tatizo kisa amepokea wateja wawili watatu wenye tatizo moja, ni lazima atoe report juu ya tatizo, lifanyiwe uchunguzi na aletewe majibu kuwa hili ni tatizo X, msaidie mteja kwa njia hii au mwambie asubirie tatizo linashughulikiwa kwa ujumla wake.
Inawezekana ulipokuwa unapiga mara ya kwanza tatizo lilikuwa lipo ila halijatolewa official statement na ulipopiga mara ya pili ikawa ufumbuzi umepatikana.
Ni kweli wapo ambao ni wavivu kufuatilia lakini pia anaweza akawa hana habari kuhusu tatizo husika kulingana na aina wateja aliohudumia siku hiyo
 
Kuna siku nilikosea kutuma pesa kwenye betting company 1X nikapatia namba kampuni nikakosea kumbukumbu namba maana nilikuwa tungi mbaya,sasa nikapiga simu hela yangu irejeshwe mdada kapokea akaniambia masaa 72,na akashangaa nawezaje kuweka hela nyingi hivyo kubet napata faida gani si niache tu nikamwambia hayakuhusu ,nikapiga baada ya week kapokea mdada kaniambia baada ya siku 28 nikamwambia kuweni serious tatizo moja majibu mawili tofauti nikakata simu ,kesho yake nikapiga simu akapokea mzee baba nilipomweleza akaniambia subiri akaniuliza maswali kidogo kisha muamala ukasoma kabla ya kukata simu nikamwomba namba yake nimtumie shabashi maana nilimkubali sana hakuna lomoni nyingi .
eti unawezaje kuweka hela nyingi hivyo kubet, huyo kweli alikuwa na gubu
 
Miye sina gari ila huwanasikia kwa wenye magari kuwa trafic wa kike ni balaa ni bora ukutane na wa kiume.
 
Wanawake wengi wapo tu mradi ana vyeti ila kikazi ni ngumu kutatua matatizo ya hapo kwa hapo japo kuna mmoja wa startime yupo vizuri mno
 
Ilitakiwa useme chukua laki tano nenda kanywe soda kwa huyo mwanamke angekusaidia vizuri hadi papuchi angekupa bure,jiongeze next time unapoongea na customer care yeyote wa kike.
Naongea kutokana na experience yangu.
 
Habari wanajamvi!
Hapa nimetoka kuongea na customer care wa offisi Fulani hivi(Naomba nisiitaje)
Kuhusu malalamiko ya account Yangu kutowezesha pesa kutoka .

Nilipiga simu Mara ya kwanza akapokea Mdada na mazungumzo yalikuwa hivi?

Customer care : Haloow...unaongea na ......naongea na nani Tafadhali!?
Me: Unaongea na ,,...............Niko......
Customer care: oky naomba nikusaidie.
Me: Ninashida hapa kidogo account Yangu imeshindwa kutoa pesa tangu Jana Sijui tatizo nini?
Customer care: kwanini zisindwe kutoka kuna mahali utakuwa umekosea .
Me: hapana Mi sijaanza Leo kutoa pesa Ni mzoefu ndio maana nakwambia hvyo.
Customer care: hiyo pesa itakuwa haipo Kwenye account yako!.
Naomba account number yako!.
Me!....############678
Customer care: Nimesharekebisha hapa jaribu kufanya mihamala tena!.nakutakia siku njema.

Baaada ya hapo ikashindikana nikapiga tena simu akapokea Jamaa saivi. Na maongezi yalikuwa hivi.

Customer care: halow unaongea na .....naongea na nan Tafadhali!...?
Me: unaongea na .......Niko..,.....
Customer care : Naomba nikusaidie Tafadhali!...
Me: Oky! Nimepiga simu mda sio mrefu hapo nilikuwa na shida .......1.2.3.
Lakini naona bado tatizo liko pale pale.
Customer care: Oky naomba account number yako Ndugu mteja...
Me: 2334444#####
Customer care: Naomba usubir kidogo usikate simu.
Me. Oky.
Customer care: Sawa sasa kulikuwa na shida kidogo ya kimtandao kwa watumiaji wa account za
### kuanzia Jana jion hivi hii inatokana na .....1.2.3. Mafundi wanashughurikia tatizo na muda mfupi tatizo litakaa sawa nimechukua namba yako pembeni nitakutaarifu kwa SMS tatizo likimalizika pole kwa usumbufu Ndugu.......
Me: asante sana kiongozi..
Customer Care: ulikuwa na tatizo lingine nikusaidie:
Me: hapana.
Customer care: nakutakia siku njema asante kwa kutumia Huduma zetu.

Hizo zilikuwa Ni conversation kati Yangu na customer care na mpaka saivi problem solved .
Sasa swali langu customer care wa kike huwa wanakuwa na stress za nini mpaka wanatoa majibu ambayo hayamshawishi mteja.

Customer
Tatizo kubwa baadhi ya dada zetu wanakosa kitu flani kinaitwa confidence ,lakini pia wengine wanakua hawako focus sana na kazi unapompigia anataka mmalize mazungumzo fasta fasta ili afanye kazi nyengine binafsi kama vile kuchati ama kupiga stori za kiuzushi na wafanya kazi wengine ,unakuta kuna baadhi ya wadada huwa hata kupokea sim ,hawapokei kama kuna wenzao wa kiume huwambia wapokee wao.
naona hii ndio shida kubwa ,ila naamnini wanarekebishika.
 
Back
Top Bottom