Kwanini CUF kina Wabunge wawili tu huku Tanzania bara?

watanganyika na wapemba walijitolea sana katika ku support cuf kwa hari na Mali nakumbuka mwingine walitoa mpaka magari yao ktk harakati za chama mpaka chama kikawa tishio kwa serikali ya ccm ikabidi watumie kada wao Mr omar maita na mpaka mzee wa azamu akamwagiwa ngano yake yote ni katika ku support cuf kwa hari na Mali nakumbuka ilikuwa cuf ngangali kweli kweli bt walipogeukia mambo mengine badala ya kuitoa ccm wakawa wanaalalisha uwepo wa vyama vingi tu tanganyika lakini wenzao wa zanzibar wapo serious
 
Kuanguka kwa vipimo vipi?lazima ujue base ya wana CUF iko wapina lazima ujiulize why Rais alipokuwa Mkapa CUF ilikuwa very stronglakini Rais alipokuja Kikwete CUF imepungua nguvuukiweza jibu hayo ndo utajua CUF inazama au inakua
Kama napata picture vile ,km naikosa vile..
 
Huyu jamaa ni babu jinga,kipimo kipi kinakuonesha cuf imekufa. Kama ulikuwa hujui nafasi easy kwa sasa ya ubunge pitia cuf kwa maeneo. Ya pwani.
Sijasema imekufa ila inazidi didimia sana...je ipo ktk alengo ya wanachama waaminifu na ngangari wake?Malengo yao yalikuwa wawe wapi baada ya miaka mingapi?
 
watanganyika na wapemba walijitolea sana katika ku support cuf kwa hari na Mali nakumbuka mwingine walitoa mpaka magari yao ktk harakati za chama mpaka chama kikawa tishio kwa serikali ya ccm ikabidi watumie kada wao Mr omar maita na mpaka mzee wa azamu akamwagiwa ngano yake yote ni katika ku support cuf kwa hari na Mali nakumbuka ilikuwa cuf ngangali kweli kweli bt walipogeukia mambo mengine badala ya kuitoa ccm wakawa wanaalalisha uwepo wa vyama vingi tu tanganyika lakini wenzao wa zanzibar wapo serious
Sasa nini matumaini ya wanachama wa bara na visiwani waliojitolea kwa hali na mali.
 
Kuanguka kwa vipimo vipi?
lazima ujue base ya wana CUF iko wapi
na lazima ujiulize why Rais alipokuwa Mkapa CUF ilikuwa very strong
lakini Rais alipokuja Kikwete CUF imepungua nguvu
ukiweza jibu hayo ndo utajua CUF inazama au inakua
mkuu Boss sio kwamba nichlous hajui hilo. anajua sana ila hapo wanchofanya ni kutafuta jinsi ya kuwapaka matope kama walivyofanya kwa zitto. na ukiona hivi juu ukawa inasambaratika muda sio mrefu. maana NCCR inategemea wabunge wa Kigoma ambao wote watakua ATC, ni suala la muda tu.
Na CUF wamegoma kuachia nafasi ya urais kwa sababu wanajua kabisa chadema haitabiriki maana hata wao walipowashirikisha kuunda serikali kivuli lakini baadaye ilipokuwa zamu ya chadem waligoma na kuanza kuwapaka matope kuwa ni CCM, na hata muungano umetokana na kufukuzwa kwa zitto ambako kuliharibu hali ya hewa.
pili atakaesimamisha mgombea wa urais ndo atakuwa na ruzuku za kuendeshea chama na kuwa na uwezo wa kuteua wale wabunge wetu wa vitu maalumu. unafikiri hapo mtu kama magdalena sekaya ambaye ni mbunge wa aina hiyo atakubali huo muungano utakaomnyima ulaji? najua hata wangekubaliana kuwa watagawana lakini wanauhakika gani kuwa baadaye chadema hawatageuka? maana hakuna pa kuwashika kisheria.
Na nadhani wanachama wa CUF wamemuambia Prof. kuwa chama kitakuifia maana baada ya uchaguzi hutakuwa na ruzuku za kuendeshea chama kama taasisi ingine yoyote ile.
kitu kingine anachoshindwa kuelewa huyo nichlous ni kuwa leo hii hata CUF wasiposhirikiana na chadema kutakuwa na tofauti ndogo sana ya kura maana sehemu yote ya ukanda wa pwani ambako ndo anakotoka rais anayeondoka madarani kutakuwa na hali tofauti sana.
October sio mbali.
 
cuf hawawezi kukubali yohana na petro hapo ndipo ugumu ulipo. cdm watangaze mgombea wao wa uraisi. Wasipoteze muda, siku ndio zinayoyoma hivyo.
 
Kwanii viongozi hawaoni haja ya CUF angalau kufikia malengo kwanza kwa Zenj,halafu wagain ground Bara?Au ndio wanaona km Maalim ndie yupo ktk position ya kuwahi zaid pele juu?Km tatizto ni kutoaminiana ktk maslahi baada ya mafanikio ya chama,kwa nini Basi km Chama wasikae na kujadili jinsi gani watazugusha resourses za chama ili wapigania chama njiani wafanikiwe?Kwanini Maalimu na Lipumba wasikae na kuangalia chama kinakwenda wapi na nini kifanyike pawe na mafanikio zaidi au kukibadili chama ili kifikie kuwa chama chenye kuongoza na si chama cha kuwapa CCM nafasi ya kukaa milele.Kwa mwende huu CUF bara watakuwa wanaiangusha CUF visiwani.
 
mkuu Boss sio kwamba nichlous hajui hilo. anajua sana ila hapo wanchofanya ni kutafuta jinsi ya kuwapaka matope kama walivyofanya kwa zitto. na ukiona hivi juu ukawa inasambaratika muda sio mrefu. maana NCCR inategemea wabunge wa Kigoma ambao wote watakua ATC, ni suala la muda tu.
Na CUF wamegoma kuachia nafasi ya urais kwa sababu wanajua kabisa chadema haitabiriki maana hata wao walipowashirikisha kuunda serikali kivuli lakini baadaye ilipokuwa zamu ya chadem waligoma na kuanza kuwapaka matope kuwa ni CCM, na hata muungano umetokana na kufukuzwa kwa zitto ambako kuliharibu hali ya hewa.
pili atakaesimamisha mgombea wa urais ndo atakuwa na ruzuku za kuendeshea chama na kuwa na uwezo wa kuteua wale wabunge wetu wa vitu maalumu. unafikiri hapo mtu kama magdalena sekaya ambaye ni mbunge wa aina hiyo atakubali huo muungano utakaomnyima ulaji? najua hata wangekubaliana kuwa watagawana lakini wanauhakika gani kuwa baadaye chadema hawatageuka? maana hakuna pa kuwashika kisheria.
Na nadhani wanachama wa CUF wamemuambia Prof. kuwa chama kitakuifia maana baada ya uchaguzi hutakuwa na ruzuku za kuendeshea chama kama taasisi ingine yoyote ile.
kitu kingine anachoshindwa kuelewa huyo nichlous ni kuwa leo hii hata CUF wasiposhirikiana na chadema kutakuwa na tofauti ndogo sana ya kura maana sehemu yote ya ukanda wa pwani ambako ndo anakotoka rais anayeondoka madarani kutakuwa na hali tofauti sana.
October sio mbali.

Kila mtu anajua kuna watu waliipigia CCM kura sababu ni Kikwete
now hayupo hata wamsimamishe malaika...watarudi zao CUF taratiibu
ACT wata gain...CUF watarrudisha wapiga kura wao CHADEMA ndo wenye kazi sasa
Kigoma wataondolewa...Lowasa anaimiliki Arusha na Manyara it depend chama kipi ataenda
 
mkuu Boss sio kwamba nichlous hajui hilo. anajua sana ila hapo wanchofanya ni kutafuta jinsi ya kuwapaka matope kama walivyofanya kwa zitto. na ukiona hivi juu ukawa inasambaratika muda sio mrefu. maana NCCR inategemea wabunge wa Kigoma ambao wote watakua ATC, ni suala la muda tu.Na CUF wamegoma kuachia nafasi ya urais kwa sababu wanajua kabisa chadema haitabiriki maana hata wao walipowashirikisha kuunda serikali kivuli lakini baadaye ilipokuwa zamu ya chadem waligoma na kuanza kuwapaka matope kuwa ni CCM, na hata muungano umetokana na kufukuzwa kwa zitto ambako kuliharibu hali ya hewa. pili atakaesimamisha mgombea wa urais ndo atakuwa na ruzuku za kuendeshea chama na kuwa na uwezo wa kuteua wale wabunge wetu wa vitu maalumu. unafikiri hapo mtu kama magdalena sekaya ambaye ni mbunge wa aina hiyo atakubali huo muungano utakaomnyima ulaji? najua hata wangekubaliana kuwa watagawana lakini wanauhakika gani kuwa baadaye chadema hawatageuka? maana hakuna pa kuwashika kisheria. Na nadhani wanachama wa CUF wamemuambia Prof. kuwa chama kitakuifia maana baada ya uchaguzi hutakuwa na ruzuku za kuendeshea chama kama taasisi ingine yoyote ile.kitu kingine anachoshindwa kuelewa huyo nichlous ni kuwa leo hii hata CUF wasiposhirikiana na chadema kutakuwa na tofauti ndogo sana ya kura maana sehemu yote ya ukanda wa pwani ambako ndo anakotoka rais anayeondoka madarani kutakuwa na hali tofauti sana.October sio mbali.
Well,ingia ktk point tuu....Ukweli ni kwamba CUF kuna Shida ya kimapango ndio maana wanaingilika kirahisi sana..CUF visiwani hawakuwa makini ktk serikali ya umoja wa kitaifa,kwani waliacha bara wakiona wale wa visiwani wameshakula na wao wanakula njaa ktk nchi kubwa ambayo hawatawaweza jiuza ktk ushindani mkubwa toka kwa CDM.CUf wamebaki hawana bei kubwa kwa upinzani wala kwa chama tawala.
 
Kila mtu anajua kuna watu waliipigia CCM kura sababu ni Kikwete
now hayupo hata wamsimamishe malaika...watarudi zao CUF taratiibu
ACT wata gain...CUF watarrudisha wapiga kura wao CHADEMA ndo wenye kazi sasa
Kigoma wataondolewa...Lowasa anaimiliki Arusha na Manyara it depend chama kipi ataenda

Hivi kigoma cdm walikuwa na wabunge wangapi? na mpaka sasa wapo wangapi? ili kuondoka kwao iwe issue.
 
Kila mtu anajua kuna watu waliipigia CCM kura sababu ni Kikwete
now hayupo hata wamsimamishe malaika...watarudi zao CUF taratiibu
ACT wata gain...CUF watarrudisha wapiga kura wao CHADEMA ndo wenye kazi sasa
Kigoma wataondolewa...Lowasa anaimiliki Arusha na Manyara it depend chama kipi ataenda
ukweli 100%. mkuu hilo watu hawalioni kabisa. mpaka hata nashangaa watu hawaoni kuwa aliyeidhoofisha CUF sio chadema bali Kikwete. na sasa kikwete anaondoka. ukiacha hili la pwani kuna watu wengine wanaichagua CUF kwa sababu tu viongozi wake pale juu ni waislam (japo ninauhakika kabisa kuwa chama kina katiba yake na hata kikipata dola waislam wasifikiri kuwa shida zao zitakuwa zimeisha).
NB: Kikwete na mwinyi wamekaa pale juu na hakuna chochote walichofanya tofauti na mkapa labda mkapa alichokosea ni kuwaua waislam tu pale muembechai 1998, kuwashikashika viongozi wa kiislam na kupeleka jeshi january 26/27 2001 kule zanzibar kwenda kuua watu kitu kilichotafasiriwa na waislam kuwa jamaa anatumikia kanisa kuwaua waislam. lakini ukiyatoa haya niliyoyataja sioni tofauti ya maana ya mkapa, mwinyi na Kikwete kuwa pale juu.

Kuhusu lowasa hata aende chadema hawaz shinda urais nchi na ikitokea itakuwa kama zari tu. Nipingane na wewe sio kweli kuwa lowasa anakubalika sana manyara, nimekaa pale napafahamu vizuri tu.

Ila kilimanjaro walikuwa tayari kumpa lowasa kuwa kwa kauli ya ukaskazini. marafiki zangu wachaga kila niliyeongea nae alisema ccm wakimpitisha lowasa watakuwa wamepata kura yake. kwa hiyo toa manyara weka kilimanjaro minus upareni.

Nje ya topic; kubwa zaidi isingekuwa rahisi kumpitisha lowasa kwa sababu nyingi;
labda kwa uchache tu ni kuwa jamaa angekigawa chama maana nusu ya wanaccm tena wale wenye influence kubwa walikuwa hawakubaliani nao mfano cliopa msuya, john malecela, warioba, butiku, kitine, sitta, mwakyembe, mwembe na wangine wengi tu kama akina selelii ambao najua wanainfluence kwenye maeneo yao.
vijana kama akina nnape, amkonda walikuwa wanakuja hadhari kabisa kumpinga. kwa hiyo kwa vyovyote vile lisingekuwa afya kwa ccm.
 
Well,ingia ktk point tuu....Ukweli ni kwamba CUF kuna Shida ya kimapango ndio maana wanaingilika kirahisi sana..CUF visiwani hawakuwa makini ktk serikali ya umoja wa kitaifa,kwani waliacha bara wakiona wale wa visiwani wameshakula na wao wanakula njaa ktk nchi kubwa ambayo hawatawaweza jiuza ktk ushindani mkubwa toka kwa CDM.CUf wamebaki hawana bei kubwa kwa upinzani wala kwa chama tawala.

Nicholas nakushauri uwaambie viongozi wako wajitoe kwenye ukawa. maana NCCR ipo kigoma na kule Zitto anakura ya turufu kwa hiyo kule sahauni. Kwa CUF kama ndo unaamini hivyo basi fanyeni yenu maana kila mmoja anajua kuwa mpaka sasa hivi anayekwamisha kupatikana kwa mgombea urais ukawa ni CUF na ndo maana umekuja hapa kutengeneza mazingira ya kuona nguvu ya hiki chama.
Ukweli ni kwamba wanaoimarisha chadema ni watu walioko kwenye system ambao wengi wao wanauhusiano kwa namna moja au nyingine na uongozi wa chadema uliopo. nakumbuka kampeni za mwaka 2010 slaa alishawahi hata kuthubutu kusema kuwa nusu ya usalama wa taifa wanaripoti kwake. hebu ipime kauli hii. Kwa taarifa yako mnyika kama angekuwa CUF pale ubungo wala asingetangazwa. Zuberi mtemvu alishindwa pale Temeke na CUF lakini serikali ilichofanya ni kwenda kuwapiga mabomu wale waliokuwa wakidai haki yao na hata vyombo vya habari hawakulipa kipaumbele likapotezewa kiaina. sio kwamba watu hawayajui haya. na wala usione watu wako kimya ukafikiri hawajui. kinachoibeba chadema ni system kwa taarifa yako kama hujui. kwa hiyo hata ninapokuambia kuwa chadema hawatshinda sio kwamba nakutania. namaanisha. ndo maana jana nikawa nakutania kama hauko tayari kuongozwa na Magufuli hamia kwa uhuru. boda ya holili ni karibu zaidi kuliko namanga au horohoro!
 
Kila mtu anajua kuna watu waliipigia CCM kura sababu ni Kikwetenow hayupo hata wamsimamishe malaika...watarudi zao CUF taratiibuACT wata gain...CUF watarrudisha wapiga kura wao CHADEMA ndo wenye kazi sasaKigoma wataondolewa...Lowasa anaimiliki Arusha na Manyara it depend chama kipi ataenda
Manyara ni Lowasa na CDM..CUF wapo km hawana mwenyewe,kidogo wataenda ACT kwa wale waliopigwa udini na wanasikia sauti km yao kwa ACT kwa wale wanaoona kuingia cdm ni km kusurrender pride.Kigoma CDM wana kura nyingi hata km hawatatoa mbunge ingawa najua NCCR ikipotez ambunge hawezi kwenda ACT hata km ilikuwa plan ya kwanza.Pwani kuna kugawana kura sana atakayepata nyingi hamaanishi kwamba ni wingi wa kuweza beba hasara ya Bara.
 
Sidhani kama ccm wataweza kubadilisha mgombea wao hata cuf wakiwaambia. Ukawa is no more unless Haruna akubalike.
Sasa kwanini Lipumba asione ndio sababu ya kuwaambia CCM kwamba wanawapa kipindi kigumu kumnadi mgombea wao?Kwa hiyo kaona njia rahisi kuibomoa ukawa?Sasa mbona hiyo ndio inakwenda kuwa njia ya kujidhalilisha mbele ya waislam wasioipenda CCM?
 
Back
Top Bottom