Kwanini cmu za mkonon zinakuwa chanzo cha uvunjikaji wa ndoa na mahusiano?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Habar zenyu wanaJF hv kwanini yapata asilimia 85 simu za mkonon zimekuwa chanzo kikubwa katka kuvunjika kwa ndoa na mahusiano now days ni kwamba hakuna uaminifu au yan ni nini haswa
 
Murefu nakushauri jaribu kuscan thread nyingi za MMU utakutana na hii kitu ya simu ya mkononi kuvunja ndoa Ilileta mada nzito na muafaka hakuna.

Halafu ndo urudi tena ukiwa umejipanga
 
Habar zenyu wanaJF hv kwanini yapata asilimia 85 simu za mkonon zimekuwa chanzo kikubwa katka kuvunjika kwa ndoa na mahusiano now days ni kwamba hakuna uaminifu au yan ni nini haswa

Tuliwashauri msipende kupekua pekua cm za wenzenu!... mnajifanya mapenzi, eti hamfichani kitu shauri yenu....
 
2lishaizungumizia hii kwa heshma na taadhima naomba kushitisha hoja hii.
 
Back
Top Bottom