Kwanini "clip" ya Nyerere kumkataa Lowasaa haijawahi tolewa hadharani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,323
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kwenye Richmond tunaambiwa kuna mambo yalifichwa.Hii clip nayo inafichwa!Kama hali ndio hii,kwanini mtu huyu sasa asipete?Hivi sisi tukoje?!

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?
 
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?

Ahsante sana kwa swali zuri kwa wakati muafaka. Team porojo njooni mjibu hili swali!

Tunaweka dau mezani kwa yeyote atakayeweka!
 
Kuwekwa hadharani kivipi.
Mtu yeyote anayetumia pesa nyingi kusaka madaraka hafai ni wa kuogopwa kama ukoma Mwl.Nyerere.hata Lowasa anajua ccm wakifuata miiko ya mwl Nyrere uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio
 
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?

Wewe unaamini katika ''clip'' tu? Mbona ukisoma magezeti unaamini habari bila ''clip''? Vitabu vya dini je? Na sisi tutaaminije kuwa wewe unataka ''clip ya Lowassa'' iwekwe hadharani bila kutoa ''clip yako'' ikitaka ''clip ya Lowassa'' iwekwe hadharani.
 
Kuwekwa hadharani kivipi.
Mtu yeyote anayetumia pesa nyingi kusaka madaraka hafai ni wa kuogopwa kama ukoma Mwl.Nyerere.hata Lowasa anajua ccm wakifuata miiko ya mwl Nyrere uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio
Binafsi simkubali Lowassa ila nachotaka tukate mzizi wa fitina.

Majuzi hata Nape aligusia kauli hii ya.Baba wa Taifa alipokuwa anahojiwa EATV ingawa hakumtaja Lowassa moja kwa moja.Ifike mahali tumuenzi Nyerere kwa vitendo na si kinafiki kama hivi tunavyofanya kama kweli ushahidi upo na kama ilikuwa ni siri ya kikao, basi habari hii ingeishia huko huko kwenye vikao vyao.
 
Kuwekwa hadharani kivipi.
Mtu yeyote anayetumia pesa nyingi kusaka madaraka hafai ni wa kuogopwa kama ukoma Mwl.Nyerere.hata Lowasa anajua ccm wakifuata miiko ya mwl Nyrere uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio
Binafsi simkubali Lowassa ila nachotaka tukate mzizi wa fitina.

Majuzi hata Nape aligusia kauli alipokuwa anahojiwa EATV ingawa hakumtaja Lowassa moja kwa moja.Ifike mahali tumuenzi Nyerere kwa vitendo na si kinafiki kama hivi tunavyofanya kama kweli ushahidi upo na kama ilikuwa ni siri ya kikao basi habari hii ingeishoa huko huko kwenye vikao.
 
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?

Mkuu wewe no Gamba ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sa we kwa uchafu wa lowassa unahiyaji clip hacha hui anaojua mwalimu we hujui chochote kuhusu lowassa na ufisadi? Acha ubwege mtoa post
 
Hivi wewe huoni hiyo clip ikipatikani ndio itakuwa pigo takatifu kwa hiyo kambi ya Lowassa?
 
Kuwekwa hadharani kivipi.
Mtu yeyote anayetumia pesa nyingi kusaka madaraka hafai ni wa kuogopwa kama ukoma Mwl.Nyerere.hata Lowasa anajua ccm wakifuata miiko ya mwl Nyrere uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio

Kwani bado unaamini lowassa atakuwa Rais wa njii hii?
 
Back
Top Bottom