Kwanini China ni mahiri sana wa Kutibu Magonjwa mbalimbali, makubwa na ya hatari kabisa ya Wanasiasa wa Afrika?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,523
108,810
Nami najipanga sasa kwenda Uchina ( China ) ili pia nikapate matibabu kwani nasikia Wachina huwa hawashindwi Kitu kabisa. Nina tatizo langu la Pumu la muda mrefu sana na nimejaribu kupata Tiba mbalimbali katika Hospitali za Tanzania hadi nikawa naambiwa sasa kuwa GENTAMYCINE nisipende sana Kupanda Ndege au Treni ila nitumie sana Uber au Gari tu kama ni safari za karibu kama labda za kwenda Uganda au Rwanda hapo.

Ila kwa kuwa mwakani 2020 nami GENTAMYCINE nataka Kugombea Kiti cha Ubunge nimeshauriwa sasa kutokana na aina za Kampeni ambazo nitakuwa nazifanya ambazo nitakuwa nahojiwa mno na Kupingwa sana na itanibidi pia nitembelee Vijiji vyote basi yanipasa hivi karibuni tu au mwaka huu niweze kwenda ( kufanya ) ziara ya nchi za mbali ( tena Mashariki ya mbali ) kabisa huko Uchina ( China ) ili nikatibiwe vyema hii Pumu ( Asthma ) yangu isije Kuniua bure japo pia nitatumia nafasi hiyo hiyo Kusalimiana na Kiongozi ( Rais ) wa China na Viongozi wa Chama cha Kikongwe cha huko ambacho pia ni Rafiki na Chama changu hapa Nyumbani.

Sijapanga bado tarehe ya kwenda huko Uchina ( China ) ila naomba mkisikia tu kuwa nimesafiri huko ikiwa ni mara yangu ya Kwanza kupanda Ndege za mbali mniombee kabisa ( tena ikibidi fungeni kabisa ) ili GENTAMYCINE niweze Kufika salama na nipatiwe Tiba nzuri kabisa kwani kama kuna Watu ambao huwa hawashindwi Kutibu Ugonjwa wowote basi ni Wachina na nasikia pia kuwa hata Magonjwa ya Hatari nayo wanatibu bila kusahau Moyo hivyo naamini nikirudi huko nitakuwa niko ' Fiti ' kabisa kuliko sasa ambapo Pumu yangu hii inanifanya niishi kwa wasiwasi na nisipende Kusafiri mara kwa mara hadi Ndugu zangu, Majirani na Marafiki wananishangaa.

Nawasilisha.
 
Wachina hawadhindwagi kitu, washatuletea misambwanda mbadala tunaendelea kuvunja shingo zetu kila kukicha tupishanapo na wadada wanaotumia hiyo huduma ya mchina
 
Umetumia coded language lakini nimekupata. Nakukumbuka tangu ushike usukani. Umembelea nchi tatu tu tena za jirani kulikoni sasa, tens ghafla namna hii uende mashariki ya mbali.? We Genta so bure utakuwa ni kutafuta namna ya Ku- counteract, athari za muhanga wa 38 bullets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa wasiwasi kwa kuwa we ni wa Chama, mwezi ujao Dreamliner inapaa kwenda huko nauli yako ni Card ya Chama tu. Wasalimie Wachina wote!
 
Nami najipanga sasa kwenda Uchina ( China ) ili pia nikapate matibabu kwani nasikia Wachina huwa hawashindwi Kitu kabisa. Nina tatizo langu la Pumu la muda mrefu sana na nimejaribu kupata Tiba mbalimbali katika Hospitali za Tanzania hadi nikawa naambiwa sasa kuwa GENTAMYCINE nisipende sana Kupanda Ndege au Treni ila nitumie sana Uber au Gari tu kama ni safari za karibu kama labda za kwenda Uganda au Rwanda hapo.

Ila kwa kuwa mwakani 2020 nami GENTAMYCINE nataka Kugombea Kiti cha Ubunge nimeshauriwa sasa kutokana na aina za Kampeni ambazo nitakuwa nazifanya ambazo nitakuwa nahojiwa mno na Kupingwa sana na itanibidi pia nitembelee Vijiji vyote basi yanipasa hivi karibuni tu au mwaka huu niweze kwenda ( kufanya ) ziara ya nchi za mbali ( tena Mashariki ya mbali ) kabisa huko Uchina ( China ) ili nikatibiwe vyema hii Pumu ( Asthma ) yangu isije Kuniua bure japo pia nitatumia nafasi hiyo hiyo Kusalimiana na Kiongozi ( Rais ) wa China na Viongozi wa Chama cha Kikongwe cha huko ambacho pia ni Rafiki na Chama changu hapa Nyumbani.

Sijapanga bado tarehe ya kwenda huko Uchina ( China ) ila naomba mkisikia tu kuwa nimesafiri huko ikiwa ni mara yangu ya Kwanza kupanda Ndege za mbali mniombee kabisa ( tena ikibidi fungeni kabisa ) ili GENTAMYCINE niweze Kufika salama na nipatiwe Tiba nzuri kabisa kwani kama kuna Watu ambao huwa hawashindwi Kutibu Ugonjwa wowote basi ni Wachina na nasikia pia kuwa hata Magonjwa ya Hatari nayo wanatibu bila kusahau Moyo hivyo naamini nikirudi huko nitakuwa niko ' Fiti ' kabisa kuliko sasa ambapo Pumu yangu hii inanifanya niishi kwa wasiwasi na nisipende Kusafiri mara kwa mara hadi Ndugu zangu, Majirani na Marafiki wananishangaa.

Nawasilisha.
Tarehe ya safari ikiwadia waombe wahakikishe unapanda Boeing 737 Max . Hizi ndege ni poa kwa safari za masafa marefu. Pia zina vifaa vya kisasa vya kuangalia mapigo ya moyo na mfumo wa upumuaji wa kila abiria. Pia kama una mahitaji maalum, unaweza pia ku-book madaktari bingwa au waganga wa kienyeji na shirika lina-kucharge exta 10% US dolari tu ya bei ya tiketi yako ya kawaida kukupatia huduma hizo.
Tumia Ethiopian Airlines.
 
Nami najipanga sasa kwenda Uchina ( China ) ili pia nikapate matibabu kwani nasikia Wachina huwa hawashindwi Kitu kabisa. Nina tatizo langu la Pumu la muda mrefu sana na nimejaribu kupata Tiba mbalimbali katika Hospitali za Tanzania hadi nikawa naambiwa sasa kuwa GENTAMYCINE nisipende sana Kupanda Ndege au Treni ila nitumie sana Uber au Gari tu kama ni safari za karibu kama labda za kwenda Uganda au Rwanda hapo.

Ila kwa kuwa mwakani 2020 nami GENTAMYCINE nataka Kugombea Kiti cha Ubunge nimeshauriwa sasa kutokana na aina za Kampeni ambazo nitakuwa nazifanya ambazo nitakuwa nahojiwa mno na Kupingwa sana na itanibidi pia nitembelee Vijiji vyote basi yanipasa hivi karibuni tu au mwaka huu niweze kwenda ( kufanya ) ziara ya nchi za mbali ( tena Mashariki ya mbali ) kabisa huko Uchina ( China ) ili nikatibiwe vyema hii Pumu ( Asthma ) yangu isije Kuniua bure japo pia nitatumia nafasi hiyo hiyo Kusalimiana na Kiongozi ( Rais ) wa China na Viongozi wa Chama cha Kikongwe cha huko ambacho pia ni Rafiki na Chama changu hapa Nyumbani.

Sijapanga bado tarehe ya kwenda huko Uchina ( China ) ila naomba mkisikia tu kuwa nimesafiri huko ikiwa ni mara yangu ya Kwanza kupanda Ndege za mbali mniombee kabisa ( tena ikibidi fungeni kabisa ) ili GENTAMYCINE niweze Kufika salama na nipatiwe Tiba nzuri kabisa kwani kama kuna Watu ambao huwa hawashindwi Kutibu Ugonjwa wowote basi ni Wachina na nasikia pia kuwa hata Magonjwa ya Hatari nayo wanatibu bila kusahau Moyo hivyo naamini nikirudi huko nitakuwa niko ' Fiti ' kabisa kuliko sasa ambapo Pumu yangu hii inanifanya niishi kwa wasiwasi na nisipende Kusafiri mara kwa mara hadi Ndugu zangu, Majirani na Marafiki wananishangaa.

Nawasilisha.
Kukuelewa ujumbe wako wewe genius inahitaji utulivu kidogo . binafsi nimekuelewa na kwa kuwa umesema kwa lugha ya mficho nami amini Raisi wetu mpendwa wa Nchi ya Puerto Rico. a.k.a Tanganyikajeki raisi ni kipenzi cha wanyonge huenda kweli kuna jambo linamsumbua la kiafya na soon huko kwa wachina ataenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unaumwa ndo maana siku hizi unaandika vitu havieleweki na kujifanya much know.ukisikia habari lazima uibadilishe kinamna uingize hoja zako na uitungie stor yako ya kipuuzi puuzi na kujisifia kwingi.ili uonekane upo karibu Sana na Magufuli au kitengo. me nilijua tu lazima utakuwa na maradhi anyway hainihusu Sana uende China usiende Ni juu Yako me naendelea kuufuatilia ule mwisho wako utaishaje?
 
Nami najipanga sasa kwenda Uchina ( China ) ili pia nikapate matibabu kwani nasikia Wachina huwa hawashindwi Kitu kabisa. Nina tatizo langu la Pumu la muda mrefu sana na nimejaribu kupata Tiba mbalimbali katika Hospitali za Tanzania hadi nikawa naambiwa sasa kuwa GENTAMYCINE nisipende sana Kupanda Ndege au Treni ila nitumie sana Uber au Gari tu kama ni safari za karibu kama labda za kwenda Uganda au Rwanda hapo.

Ila kwa kuwa mwakani 2020 nami GENTAMYCINE nataka Kugombea Kiti cha Ubunge nimeshauriwa sasa kutokana na aina za Kampeni ambazo nitakuwa nazifanya ambazo nitakuwa nahojiwa mno na Kupingwa sana na itanibidi pia nitembelee Vijiji vyote basi yanipasa hivi karibuni tu au mwaka huu niweze kwenda ( kufanya ) ziara ya nchi za mbali ( tena Mashariki ya mbali ) kabisa huko Uchina ( China ) ili nikatibiwe vyema hii Pumu ( Asthma ) yangu isije Kuniua bure japo pia nitatumia nafasi hiyo hiyo Kusalimiana na Kiongozi ( Rais ) wa China na Viongozi wa Chama cha Kikongwe cha huko ambacho pia ni Rafiki na Chama changu hapa Nyumbani.

Sijapanga bado tarehe ya kwenda huko Uchina ( China ) ila naomba mkisikia tu kuwa nimesafiri huko ikiwa ni mara yangu ya Kwanza kupanda Ndege za mbali mniombee kabisa ( tena ikibidi fungeni kabisa ) ili GENTAMYCINE niweze Kufika salama na nipatiwe Tiba nzuri kabisa kwani kama kuna Watu ambao huwa hawashindwi Kutibu Ugonjwa wowote basi ni Wachina na nasikia pia kuwa hata Magonjwa ya Hatari nayo wanatibu bila kusahau Moyo hivyo naamini nikirudi huko nitakuwa niko ' Fiti ' kabisa kuliko sasa ambapo Pumu yangu hii inanifanya niishi kwa wasiwasi na nisipende Kusafiri mara kwa mara hadi Ndugu zangu, Majirani na Marafiki wananishangaa.

Nawasilisha.
Ulikunywa kikombe ya babu ushahidi upo
 
Back
Top Bottom