Kwanini Channel Ten ndiyo yenye hawa wanaojiita Manabii na Sheikh Majini?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
25,859
33,463
Yaani hawa watu wanaojiita mara mitume, manabii, Sheikh Sharifu Majini huwa wanaoneshwa continously na Channel 10 TV

Sasa sikuhizi waanaanza kuoneshwa kuanzia asubuhi na wanaconsume muda mrefu kweli.

Binafsi, wengi wao ama wote huwa nawaona ni UCHWARA na MATAPELI.

Kwanini wanakimbilia Channel Ten?

Ni unafuu wa gharama za urushaji matangazo au?


Wabillah Tawfiq,
 
Wakoloni walileta dini na kuondoka na watumwa, Hawa ndugu zetu wao wameifanya dini ndio biashara ya kuwatajirisha.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom