Haya namimi nauliza chanjo ingekuwa inachomwa kwenye tako hivi ile siku ya uzinduzi ingekuwaje..?😅Ukitaka kujua kitu usiwe na aibu
AsanteCould You Get the Vaccine in Your Butt?
There's more to life than deltoids. Right? Isn't there?slate.com
We si umesema ukitaka kuuliza kitu usione aibu mbona wataka kuniruka..?Kuna maswali ukitaka kuuliza lazima uangalie kulia na kushoto kuna mtu gani?
Ingekuwa siku tamu sana..😅Watu mnawaza vipwadupwadu tuuu wakati wote, au haya ndiyo madhara ya Johnson & Johnson aliyosema Askofu!???
😂😂😂😂😂😂Haya namimi nauliza chanjo ingekuwa inachomwa kwenye tako hivi ile siku ya uzinduzi ingekuwaje..?😅
Hizi si kwa wale wamama waliotoka kujifungua ndio wanachomwa sindano ya paja kwa ajili ya kuzuia damu isitoke mwiliniKuna chanjo zinachomwa kwenye paja pia.
Ngoja wataalam waje.
Watoto pia wana chanjo ya pajaniHizi si kwa wale wamama waliotoka kujifungua ndio wanachomwa sindano ya paja kwa ajili ya kuzuia damu isitoke mwilini
Hii sio sababu, si kweli kwamba tunaogopa kuchoma kwa tako sababu ya neva za fahamu, chanjo za watoto zinatolewa kwa kufuata sera ya chanjo ya taifa, sera hiyo imeelekeza chanjo ipi ichomwe wapi, sehemu hizo huwa unique kiasi kwamba haiwezi mchanganya mchomaji (kuna wakati chanjo huchomwa zaidi ya moja kwa mtoto) pia husaidia kuweka kumbukumbu kwa mama, mama akija na mtoto hospitali tunamuuliza alichomwa chanjo ipi mama hujibu ya bega la kushoto moja kwa moja sisi tunajua ni chanjo ipi alichomwa hiyo ndio sera, kuhusu chanjo ya uviko ichomwe wapi, hilo ni uamuzi wa mchomwaji, sindano yoyote huchomwa kwenye msuli mkubwa usio na mishipa mikuu ya dawa wala neva kuu maeneo hayo ni begani, pajani na takoni. Msuli wa bega ni mdogo sana, hivyo kuna baadhi ya dawa mfano penadu penadu huwezi choma pale msuli utauma na hauko deep kuweza kufanya kazi bila leta madhara, madhara hapa naongelea mfano kuleta jipu, dozi ndogo ndogo kama baadhi ya dawa za maumivu kama diclofenac nk na chanjo ambazo nyingi huwa ni chini ya mills moja ni rahisi zaidi kuchoma begani kuliko huko takoni, ila ukija ukasema hutaki begani wataka takoni we tenga tu tunakupa shot!Chanjo nyingi zinachomwa kwa watoto wadogo, (Miezi 0 hadi 18), Hivyo hazitolewi kwenye makalio ili KUZUIA KUUMIZA NEVA AMBAZO HUSAIDIA MTOTO KUTEMBEA, ENDAPO NEVA HIYO AMBAYO IMEPITA KWENYE MAKALIO IKAJERUHIWA BASI MTOTO HUSHINDWA KUTEMBEA AU HUTEMBEA KWA SHIDA.
Chanjo zinatolewa bega la kulia, kushoto, paja la kulia na kushoto, lakini pia zipo chanjo za matone zinazotolewa kupitia kinywa.
Kwa watu wazima kwanini chanjo isitolewe kwenye kalio? Hebu jiulize Mh. Waziri wa wizara "Fulani" akichanjwa chanjo ya UVIKO-19 tutathibitishaje? - USTAARABU.
Jambo Lingekuwa Gumu Mno 😂😂😂Haya namimi nauliza chanjo ingekuwa inachomwa kwenye tako hivi ile siku ya uzinduzi ingekuwaje..?😅
HUJAKOSEA MATRON, EPI ndio wanaelekeza ulichoandika wewe, Nilichoandika mimi ni according to ANATOMY.Hii sio sababu, si kweli kwamba tunaogopa kuchoma kwa tako sababu ya neva za fahamu, chanjo za watoto zinatolewa kwa kufuata sera ya chanjo ya taifa, sera hiyo imeelekeza chanjo ipi ichomwe wapi, sehemu hizo huwa unique kiasi kwamba haiwezi mchanganya mchomaji (kuna wakati chanjo huchomwa zaidi ya moja kwa mtoto) pia husaidia kuweka kumbukumbu kwa mama, mama akija na mtoto hospitali tunamuuliza alichomwa chanjo ipi mama hujibu ya bega la kushoto moja kwa moja sisi tunajua ni chanjo ipi alichomwa hiyo ndio sera, kuhusu chanjo ya uviko ichomwe wapi, hilo ni uamuzi wa mchomwaji, sindano yoyote huchomwa kwenye msuli mkubwa usio na mishipa mikuu ya dawa wala neva kuu maeneo hayo ni begani, pajani na takoni. Msuli wa bega ni mdogo sana, hivyo kuna baadhi ya dawa mfano penadu penadu huwezi choma pale msuli utauma na hauko deep kuweza kufanya kazi bila leta madhara, madhara hapa naongelea mfano kuleta jipu, dozi ndogo ndogo kama baadhi ya dawa za maumivu kama diclofenac nk na chanjo ambazo nyingi huwa ni chini ya mills moja ni rahisi zaidi kuchoma begani kuliko huko takoni, ila ukija ukasema hutaki begani wataka takoni we tenga tu tunakupa shot!