hao act unaowasifia ndio hao hao wabunge wako na wenyeviti wa uvccm wanasema kuwa wanastahili kuuawaHuo ni udhaifu mkubwa sana kwa CHADEMA, wao wako busy na tume huru ya uchaguzi kwa sababu wanawaza vyeo na madaraka badala ya kuchambua hali ya uchumi wa wananchi.
Angalau ACT Wazalendo wanajitahidi sana kwenye kwenye kufanya chambuzi mbalimbali za masuala ya uchumi nchini