jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Tunapohoji juu ya utekelezwaji wa ahadi walizoahidi wabunge kwa tiketi ya chadema kunatokea matusi kejeli na majibu yenye hasira...kana kwamba ahadi hizo zilitolewa na wananchi.
Chadema imejaribu kuuaminisha umma bila mafanikio kwamba wanaweza kuleta mabadiliko yaliyoshindikana kwa miaka zaidi ya 50 chini ya utawala wa CCM.
Ni Chadema hii hii inahoji kuhusu viwanda ilhali hata bajeti ya kwanza ya serikali ya JPM haijasomwa....inahoji ahadi zote za Magufuli ndani ya kipindi cha miezi 6 cha utawala wake.
Tunapowahoji Chadema kuhusu ahadi zao Toka 2010 wanakuwa wakali kama Nyumbu au wanaamua kukimbia.
Kupitia thread hii hebu tuwakumbushe wabunge kwa tiketi ya Chadema kuhusu utekelezaji wa ahadi zao...
Mimi naanza na ahadi ya lema kuhusu Machinga Complex na hospitali ya Mama na mtoto.
TUNAKUMBUSHANA TU ...!