Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #41
kamanda dada hujambo?Acha uongo we binti! Hiyo mizozo yenu usiitupie kwa jirani.
Chadema inawakumbusha tuu kuwa ili hata nyie mpone kutoka mateso haya mwenyekiti wenu piga chini tuu.
Hakuna sababu kuwaona wenzetu ndani ya ccm wanaishi kwa kujipendekeza na kutukanwa kila siku