Kwanini chadema wanampenda zaidi lowasa kuliko kikwete?

Status
Not open for further replies.
Nimegundua kitu, huyu bwana ni mtu mmoja mwenye id nyingiii! Kweli itakuwa analipwa! Cdm na lowasa wapi na wapi?
 
I)kwa sababu lowasa Anatoka Arusha na kikwete anatoka Mkoa wa pwani wenye waislam wengi?

Kwa sababu Lowasa hana mahawara wengi na ni mchapa kazi ila tu ni mdokozi. ila udokozi unaweza kukomeshwa.
 
No research, no wright to speak! Woote hao na uislamu wao au ukristo na upwani na ukaskazi ni mafisadi! CDM haiwapendii
 
Watanzania wengi wanampenda Lowasa kwa sababu ndiye alikuwa mwenyekiti wa mtandao uliomsaidia mungu kuingiza chaguo lake Ikulu 2005..
 
KWASABABU
1. Lowassa anatoka KASKAZINI
2. Lowassa ni MKRISTO

Haya nenda ka report sasa huko ulikotumwa.

Na pia Lowasa anampenda na kumtumikia Mungu na pia ni muwajinikaji kweli kweli ewe bwana wa mabwana endelea kumtia ujasiri Lowasa Ili uende kumtakasa na
Kumfanya awe RAIS WA NNE WA JMT
AMEEEEEEEEEEN
 
I)kwa sababu lowasa Anatoka Arusha na kikwete anatoka Mkoa wa pwani wenye waislam wengi?
Kweli chadema wanampenda sana Lowasa kwani hata uchaguzi wa Arumeru Mashariki Lowasa alikuwa akishangiliwa kila alipo kuwa akikatiza viunga vya Arumeru na mwisho wa siku mkwe wa Lowasa nasikia alishinda....
 
I)kwa sababu lowasa Anatoka Arusha na kikwete anatoka Mkoa wa pwani wenye waislam wengi?




ukiristo na uislam vyote kwa pamoja vimeikuta aridhi ya tanganyika, pemba na ugunja!
kwa nini tunatumia nguvu nyingi kuvifanya vituletee uhasama?
kama wewe ni muumin wa kweli wa dini (yoyote kati ya hizo) huwezi kutumia kivuli chake kuanzisha vurugu! please tuwe makini na maneno yetu kuhusu imani! nakusihi sana ndugu yangu, usikubali kutumika kijinga.
Hata wachangiaji wengine nyuzi za namna hii msiongeze chumvi au malumbano, mweleweshe tu mtu kwa upendo then ataacha.
 
KWASABABU
1. Lowassa anatoka KASKAZINI
2. Lowassa ni MKRISTO

Haya nenda ka report sasa huko ulikotumwa.

hivi ninani aliye zuia hoja ya tundulisu kuhusu kujadili uzamaji wa meli kila kukicha!
 
A fanatic is the person who cannot change his mind and will not change the subject!
 
JKilaza ana pass degree na Lowassa a slower second. Jamaa ni dhaifu na goi goi Walau lowassa ni fisadi mzoefu na anasimamia maamuzi hata mabovu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom