Kwanini CHADEMA wanakwepa kuulizia hoja ya Richmond kipindi hiki cha Magufuli?

Kuna mbunge wa ccm au chama cha ccm aliyeibua ya makanika na iptl kipindi hiki...wapinzani waliongea wakachoka tukawabeza jpm ndio kairudisha lakini since anashughulikia ufisadi atupie jicho RICHMOND na MV DSM
Ombeni mtapewa tafuteni mtapata bisheni mtafunguliwa .....

Ongeleeni Richmond....kama mlivyoiibua pale mwembe yanga.
 
Huko ndio tunataka tufike...
muamsheni dubwana Magufuli muone...msije kusema ooh anataka kuua upinzani....
Mkuu muhim haki itendeke kma lowasa kahusika well and good kma atakuwa hajahusika pia well and good atakuwa amesafishwa for once and for all na kelele zote zitaishia hapo!!!
 
Kamaa chadema wanahofu,waambie CCM walihamsheee dubwanaa uone balaaa lakee kamaa makaburi hayatafukunyuliwa ukatoka uvundo wenye phd
 
Jingalao kwani ww ukilianzisha si itakuwa vizuriri serekali inajua story ya richmond tunaomba walia nzisheuone kama kuna cccem atabaki
 
Kma mkiamua kuwa serious na vita hii hakuna mwanaccm atakayepona maana kwana namna moja ama nyingine wengi wenu mmechangia kutufikisha hapa tulipo kuanzia wabunge mpala mawaziri wezi wote wamelelewa na chama chenu hivyo nani atapona???? Niambie msafi huko atakayepona???

Huwa nashangaa na kauli hii Kma mkiamua kuwa serious kutoka kwa zitto junior, Mtanzania ninayeamini ni mzalendo na mtu makini katika maandiko yake! Akiamua nani, bepari, fisadi, mhujumu uchumi au asiye Mtanzania!
 
Wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu ufisadi. Wasubiri tu hakuna jiwe litakaloachwa kufunuliwa maana wanalilia makaburi yafukuliwe, wakisahau wanayo makaburi.
Hataaa tukisema makaburi nafkiri chadema hayazid hataa mawil. Sasaa tukija upandee wa ndioooooo sijajua kamaa atabaki hataaa mlinga???
 
Ni akili ya kawaida tu ambayo haihitaji uwe Havard graduate kuweza kujua kwamba unaPoanzisha hoja ambayo inayomhusu waziri hususani waziri mkuu, rais wa nchi wa wakati wake lazima atahusika, sasa unaanzaje kumjadili Lowasa bila kumgusa Kikwete ?
Unawezaje kujadili kuuzwa kwa nyumba za selikali bila kumguda Sumaye?
 
Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.

Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.

Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.

Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?

Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?
Magu amekusikia,lakini tunaulizia pia uuzwaji nyumba za serikali!
 
Hataaa tukisema makaburi nafkiri chadema hayazid hataa mawil. Sasaa tukija upandee wa ndioooooo sijajua kamaa atabaki hataaa mlinga???
Mlipokea majeneza wenyewe ...mkaambiwa mnakosea hamkusikia sasa siku yakichimbuliwa tusisikoe lawama!
 
Huwa nashangaa na kauli hii Kma mkiamua kuwa serious kutoka kwa zitto junior, Mtanzania ninayeamini ni mzalendo na mtu makini katika maandiko yake! Akiamua nani, bepari, fisadi, mhujumu uchumi au asiye Mtanzania!

Kwanza usichanganye ID ya zitto na zitto junior

Pili hoja yangu ni kwamba kma hao viongozi wa chama dola (maana wamehodhi mjadala na wamesema hawapangiwi na hawafanyii kazi kelele za mitandaoni) wakiamua kuwa serious na kushughulikia suala hili la ufisadi basi be sure kwamba nusu ya serikali ya awamu ya 4 yote itakuwa gerezani kufkia 2020!!!!

Ila kwa kuwa mnafanya kwa kiki kma ilivyokuwa kwa makonda na issue ya madawa au sakata la makinikia ambapo mpaka leo chenge bado anadunda kitaa basi ujue hta hili litaishia hewani tu!!! Mkiwa serious mumbane rais mstaafu maana hana kinga ya kuhojiwa ukizingatia akiwa waziri wa nishati enzi hizo aliingiza kampuni hii nchini!!

Tumechoka na maigizo lazma ssa yule fisadi kuu ashughulikiwe at least hta mtoto wake aswelwe ndani wanamageuzi kma filikunjombe na kafulila wafutwe machozi
 
Back
Top Bottom