Kwanini CHADEMA wanakwepa kuulizia hoja ya Richmond kipindi hiki cha Magufuli?

Kibajaji ahoji hilo si kila kitu chama pinzani kihoji..na wakihoji mnasema sio wazalendo..
 
Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.

Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.

Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.

Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?

Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?
Ngosha hajaribiwi, atalala nao mbele...
 
...
Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?

Wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu ufisadi. Wasubiri tu hakuna jiwe litakaloachwa kufunuliwa maana wanalilia makaburi yafukuliwe, wakisahau wanayo makaburi.
 
Chadema wakisikia Richmond wanazimia.
 
Ni akili ya kawaida tu ambayo haihitaji uwe Havard graduate kuweza kujua kwamba unaPoanzisha hoja ambayo inayomhusu waziri hususani waziri mkuu, rais wa nchi wa wakati wake lazima atahusika, sasa unaanzaje kumjadili Lowasa bila kumgusa Kikwete ?
 
Acha utoto si juzi tu mnyika kwenye maoni ya KUB kwa wizara ya nishati na madini alisema bunge litekeleze maazimio yake juu ya IPTL saga na Richmond ama mnyika sio chadema siku hizi!!!

Hivi normal reasoning kweli chadema wangemchukua lowasa huku wakijua ni fisadi kweli?? Je angekamatwa kipindi cha kampeni ingekuwaje??? Si wangekosa mgombea urais??? Anyway mahakama ya mafisadi ipo naona ni wakati sasa mfanye alichokiomba lowasa kuwa mumfikishe mahakamani!!!! Ili debate iishe na huko ndio mtajua mbivu na mbichi otherwise we are sick and tired na hii FISADI FISADI afu hamchuku hatua
Tunasubiri maombi ya kamanda Lissu kwi kwi kwi...

[HASHTAG]#OmbaUjibiwe[/HASHTAG] hapa kazi tu
 
Aiseee...Mimi CHADEMA kindakindaki lakini nataka mwizi Lowasa na wezi wenzake wote walioko CCM washughulikiwe
 
Ni akili ya kawaida tu ambayo haihitaji uwe Havard graduate kuweza kujua kwamba unaPoanzisha hoja ambayo inayomhusu waziri hususani waziri mkuu, rais wa nchi wa wakati wake lazima atahusika, sasa unaanzaje kumjadili Lowasa bila kumgusa Kikwete ?
kama ni wezi wawajibishwe tu ..hakuna haja ya kulindana
 
Ni akili ya kawaida tu ambayo haihitaji uwe Havard graduate kuweza kujua kwamba unaPoanzisha hoja ambayo inayomhusu waziri hususani waziri mkuu, rais wa nchi wa wakati wake lazima atahusika, sasa unaanzaje kumjadili Lowasa bila kumgusa Kikwete ?
Kwa hiyo hamuitaki kabisa hiyo hoja?
Kikwete alishaweka wazi kwamba Muhusika wa Richmond anaambatana na lisu
 
kwani hoja ya richmond ilikuwa hoja ya chadema au ccm na report siipo ikulu au,mkumbuhse mwenyekiti wako sasa
 
Kwa hiyo hamuitaki kabisa hiyo hoja?
Kikwete alishaweka wazi kwamba Muhusika wa Richmond anaambatana na lisu
Hahahahahah mr dhaifu kwahyo leo unamuamini kikwete?? Huyu huyu aliesema pesa za tegeta escrow ni za mtu binafsi afu jana akaumbuka??? Kazi kwelikweli nchii hii unafki

Ukitla kuona mr dhaifu ni kilaza kayasema hayo siku ya mwisho kabisa ya kampeni kma ni kidume si angesema mapema ili awape nafasi ya kujibu mapigo au yye si alikuwa rais na alijua lowasa ni fisadi ssa kwanni asingemburuza mahakamani
 
Mr dhaifu nae ni lipanya buku lile kuuubwa na za stanbic ziko mfukoni mwake
 
Wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu ufisadi. Wasubiri tu hakuna jiwe litakaloachwa kufunuliwa maana wanalilia makaburi yafukuliwe, wakisahau wanayo makaburi.
Kma mkiamua kuwa serious na vita hii hakuna mwanaccm atakayepona maana kwana namna moja ama nyingine wengi wenu mmechangia kutufikisha hapa tulipo kuanzia wabunge mpala mawaziri wezi wote wamelelewa na chama chenu hivyo nani atapona???? Niambie msafi huko atakayepona???
 
Back
Top Bottom