Kwanini CHADEMA wanakwepa kuulizia hoja ya Richmond kipindi hiki cha Magufuli?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,076
28,275
Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.

Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.

Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.

Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?

Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?
 
Kwa matusi wanayomporomoshea Mwakyembe unadhani wana hamu naye. Pesa za FISADI LAWASSA zishawaweka MATEKA
 
Huyu jamaa hataniwi hata kidogo. Hawataki wasikie kuwa nao wanafuga mifugo ya ufisadi.

Na ndo msumari wetu huku jamani.

Tusaidieni!!!
 
Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.

Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.

Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.

Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?

Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?
Hili jambo ungemuuliza Mwakyembe aliyepata bahati ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria!
 
Mbona huu mkono wa mafisadi hauwafiki Mapapa ukamatwa vidagaa tu na vigogo huwambiwa wana kinga?

Jee kinga hio haiondoki hata ukifanya froud kama walizozifanya kikwete na Benjamini Mkapa ?

Ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma muhimu mahospitalini ,lishe na kuzalisha ma premitiv kama hawa wengi katika Jf wasio jua soccer ya mazara walio tutengenezea Mkapa na Kikwete. Halafu tunambiwa wana kinga wanakua untouchble .

Hawa watu wana rasilimali za utajiri wakutisha hata viongozi wa ulaya hawana .

Leo tunambiwa Tanzania nchi changa na maskini yakutegemea budge yake yakila mwaka misada ya kigeni ,huku viongozi wetu wakiwa billionea .

Watanzania baado tumelala tunao pata ziki za maisha na familia zetu ni sisi si wao vigogo na familia zao halafu tunasema Makufuli kiboko ?kiboko kwa dagaa lakini sio mashina na mijizizi .

Makufuli huyo huyo kalitia taifa damege hasara kubwa na katika meli ya samaki ya wachina , kukamata meli badae Tanzania kulipa mabilion ya dollar fidia.

Meli imepewa kibali ikulu na Kikwete huku leo unamkingia kifua kuwa ana kinga? Hasara jee alotutia?

Meli ililipwa,samaki walilipwa na wachina walosota ndani zaidi ya mwaka walilipwa hivi sasa matajiri wakubwa kwao .

Jee kama si ujuha huu ni kitu gani ?
 
Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.

Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.

Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.

Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?

Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?

Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.

Hofu ya Chadema ni nini?

Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?
Acha utoto si juzi tu mnyika kwenye maoni ya KUB kwa wizara ya nishati na madini alisema bunge litekeleze maazimio yake juu ya IPTL saga na Richmond ama mnyika sio chadema siku hizi!!!

Hivi normal reasoning kweli chadema wangemchukua lowasa huku wakijua ni fisadi kweli?? Je angekamatwa kipindi cha kampeni ingekuwaje??? Si wangekosa mgombea urais??? Anyway mahakama ya mafisadi ipo naona ni wakati sasa mfanye alichokiomba lowasa kuwa mumfikishe mahakamani!!!! Ili debate iishe na huko ndio mtajua mbivu na mbichi otherwise we are sick and tired na hii FISADI FISADI afu hamchuku hatua
 
Nyie si ndiyo mna serikali kwa nini msiliamshe? Mushaambiwa makaburi hayafukuliwi na waleeee wasitajwe tajwe au mna tutafutie sababu mkatutupe mabwe pande?
 
Back
Top Bottom