kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya?
KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA
 
Halafu ili iweje? Kwani hao MAFISADI wamefanywa nini? Kwani ule ushahidi wote wa mauaji ya Mwangosi (RIP), umeishia wapi? Ndugu yangu Revocatus, usiwe mshabiki uliyepokolewa akili zako.
 
Lukuvi katangaza dau la 100m, Kamanda Mbowe kajitangaza anao ushahidi.
Mwendeni kamkamateni kwa ajili ya kuwasaidia policeccm?! Sasa mnalalamika nini?
Shahidi kajitokeza mumfuate akawape huo ushahidi?!
 
Mimi namshari Mbowe asiwataje wahusika kwasasa.Tupo tunauguza majeruhi.Akiwataja tutawasahau wagonjwa na ku-deal nao
 
Lukuvi katangaza dau la 100m, Kamanda Mbowe kajitangaza anao ushahidi.
Mwendeni kamkamateni kwa ajili ya kuwasaidia policeccm?! Sasa mnalalamika nini?
Shahidi kajitokeza mumfuate akawape huo ushahidi?!

Anzeni kumpa huyo Nape katangaza kuwa waliolioua ni chadema, mpeni mgao wake, hili ni taifa la ovuo ambalo Serikali yake inaongoza mauji ya raia na kusingizia vyama vya siasa, halafu hawawakamati hao wahusika wanaishia kuwatangaza kwenye vyombo vya habari tu!
 
Mbona haya huku yasema? kama wewe siyo mnafki na mchakubimbi tena mbeyaaa sana tu. %^)&_&_- yako.

Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyuma ya jukwaa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plastiki ukipeperuka juu.

“Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini,” alisema Hilali.

Alisema alipokuwa anaangalia aliona kijana mmoja amekaribia kumfikia aliyerusha bomu lakini ghafla akapigwa risasi na kuanguka chini na aliyekuwa anafuatia kwa nyuma naye akapigwa risasi akaona anaruka na kudondoka chini huku damu zikivuja.

“Lakini mwisho wa yote kijana aliyerusha hilo fuko aliingia kwenye gari na kuondoka kwa kasi. Mimi nilikuwa chini,” alisema Hilal mbele ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipotembelea majeruhi hospitalini hapo.

source Mwananchi : 6/18/2013

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya?
KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA
 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya?
KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA

Shukuru kwa kutumia kichwa chako kufugia nywele tofauti na hapo kisingekuwa na kazi nyingine!
 
Kwa mwenye akili hebu asome neno kwa neno maelezo ya majeruhi wa hilo bomu kupitia gazeti la mwananchi!!!!!! Anaongea utafikiri walikuwa location wanaigiza movie!!!??? Humu sasa kweli kumejaa VIJEBA WA AKILI. I can see the dead end of pathetic bunch of combat cockroaches
 
Mbowe ni msaanii wa kisiasa kawashikia akili Pro-Chadema.
 
Mbona haya huku yasema? kama wewe siyo mnafki na mchakubimbi tena mbeyaaa sana tu. %^)&_&_- yako.

Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyuma ya jukwaa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plastiki ukipeperuka juu.

“Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini,” alisema Hilali.

Alisema alipokuwa anaangalia aliona kijana mmoja amekaribia kumfikia aliyerusha bomu lakini ghafla akapigwa risasi na kuanguka chini na aliyekuwa anafuatia kwa nyuma naye akapigwa risasi akaona anaruka na kudondoka chini huku damu zikivuja.

“Lakini mwisho wa yote kijana aliyerusha hilo fuko aliingia kwenye gari na kuondoka kwa kasi. Mimi nilikuwa chini,” alisema Hilal mbele ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipotembelea majeruhi hospitalini hapo.

source Mwananchi : 6/18/2013

Mungu wangu
 
Am I dreaming!!?
 
kwa maelezo hayo ya hilali ni kwamba hii nchi hakuna amani.aliyekuwa anamkimbiza mtupa bomu akapigwa risasi,thus to say hapo kulikuwa na sniper pia.sipakumbuki vizuri soweto embu fuatilieni huyo kijana alipigw risasi upande gani then muangalie jengo lolote refu lillokaribu mtapata data vizuri au mti mkubwa wowote upande alikopigwa risasi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom