Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu katika mkutano wa kampeni wa chama hicho, kama anajua kwanini mpaka sasa yupo kimya? KAMA WALIPATA UJASIRI WA KUWATAJA HADHARANI MAFISADI WA EPA KWA MAJINA-"LIST OF SHAME"-NAOMBA TUUVAE UJASIRI WA KUWATAJA KWA MAJINA WALIPUAJI WA MABOMU YA ARUSHA!!!Kuwataja HADHARANI ,kutaliokoa Taifa katika hii SINTOFAHAMU-SIONI HAJA YA KURUSHIANA MIPIRA