Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Nakumbuka miaka ila wakati Dr slaa yupo CHADEMA. CHADEMA 'ilimchafua' sana Lowassa. Kiukweli kabisa tuhuma alizopewa lowassa zilikuwa ni za kweli kwa asilimia kubwa (hii inathibitishwa kwa kujiuzulu kwake uwaziri mkuu) japo watu watasema mpaka athibitishwe na mahakama.
Baadae Mzee Lowassa akaja CHADEMA na wakaanza kumsafisha na kusema kama madai yale ni ya kweli basi mahakama ithibitishe.
Maswali yangu:
1. Kwanini CHADEMA ilijiamini kuwa wanaweza wakamchukua Lowassa kutoka CCM huku wakijua wememchafua, je walijua Watanzania ni rahisi kusahau, je Watanzania wanadanganyika kirahisi, je watz ni wavivu wa kufikiri na kihoji.
2. Kama CHADEMA walikuwa wanahitaji wapiga kura wengi, kama walivyosema wenyewe kuwa lowassa anakuja na mtaji wa wapiga kura mili 6.
Je wanachohitaji CHADEMA ni kujenga chama tu hata kama kitakuwa kimejaa mafisadi? Je CHADEMA wako tayari kujenga chama kwa namna yoyote ile hata kwa kuwadanganya innocent citizens?
3. Nikisema CHADEMA ni chama ambacho hakiaminiki tena baada ya tukio hili baya nitakuwa nomekosea?
Kitu walichokiganya CHADEMA ni cha hatari sana kama ingekuwa nchi jirani kama kenya naona CHADEMA ingekuwa ishakufa maana kingekuwa hakiamini mbele ya wananchi wa kenya 'wanaojielewa".
Sent using Jamii Forums mobile app