Kwanini CHADEMA walimsafisha Lowassa?

CHADEMA ni Kikundi cha Kiuwanaharakati wala hakikujiandaa kufanya Siasa zenye dhamira ya kuchukua na kuongeza Nchi.
(kumbukeni kauli hii iliyotolewa na Wazir Mkuu Mstaafu Mh:E.Lowasa siku akijitoa kutoka kundi la Wahuni wa CHADEMA)
Haya Wanaharakati,jibuni kama mlimsafisha Mh:LOWASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA ni Kikundi cha Kiuwanaharakati wala hakikujiandaa kufanya Siasa zenye dhamira ya kuchukua na kuongeza Nchi.
(kumbukeni kauli hii iliyotolewa na Wazir Mkuu Mstaafu Mh:E.Lowasa siku akijitoa kutoka kundi la Wahuni wa CHADEMA)
Haya Wanaharakati,jibuni kama mlimsafisha Mh:LOWASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa sijajua msimamo wa cdm kama lowassa ni fisadi au sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowasa ni fisadi, pesa aliyotoa kupewa nafasi ndani ya Chadema ili agombee urais ndio iliyo ichafua Chadema na hasa Lisu. Lisu ndiye alikua mshika Bango mkuu kumponda ma Mvi ili amfurahishe DJ.
Yaani Lisu alifanywa kama mbwa, DJ akimwambia sasa ubweke Lowasa fisadi ana Bweka. Alipo wapa fedha ili agombee urais, DJ akamwambia Lisu sasa bweka Lowasa si fisadi naye aka bweka. Matokeo yake wote sasa wamedharirika DJ na Lisu.

Kwa Lowasa ni Ushindi mkubwa, walio kua wakimsimanga na wao kudharirika. Kitendo kile kimemfanya Lisu asiaminike tena mbele ya Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema vijana wa CCM ni mamburula mnasema tunawatukana. CCM mnavyo majeshi yote mahakama ya mafisadi na mahakama zingine lakini mnashindwa kumkamata Lowasa na kumshitaki kama ni fisadi mnalalamika tuu kama vyama vya upinzani.

CCM ndio mliotangaza Kuwa Lowasa ni Fisadi tena bungeni kupitia ile kamati teule iliyoongozwa na fisadi mwenzenu Mwakyembe. Halafu mnasema Chadema wanahusikaje ? Ukimwita ndugu yako mwizi jirani akisikia na yeye akamwita atakuwa na makosa gani ?

Lowasa alijisafisha mwenyewe hadharani akisema hakuhusika na Richmond bali aliwajibika kutekeleza maagizo ya wakubwa wake na akasema kama kuna mtu anao ushahidi apelekwe Mahakamani yupo tayari kujitetea.

Toka Lowasa aende upinzani mpka Anarudi CCM hakuna hata mtu aliyeenda kufungua kesi kumuhusu Lowasa kuwa ni fisadi. Chadema kosa Lao ni lipi ? Hivi kama ulihisi baba yako kuwa amekuibia halafu ukakajua sio yeye na kukanusha kuwa hakuiba si utaonekana muungwana ? Chadema ni waungwana walipogundua kuwa CCM ni matapeli wamemsingizia mzee wa watu kupitia ile tume yenu ya kamati teule ya Bunge iliyoongozwa na fisadi Mwakyembe ikaona si vizuri kuendelea kumchafua mtu wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another rubbish. Mbona huko kwenu mnawakatalia mawaziri wakuu wasiwe rais.

Utakuwa unajitendea haki kama utakuwa unaandika mambo ya maana yenye kuweza kuisaidia hii nchi iondokane na utawala wa kibabe usiozingatia sheria make unapenda mno story za umbeya.

The issues you normally air here show how your thinking capacity is very low and the way you can't see beyond the horizon. Very bogus
 
Lakini Mbowe na Padiri Silaha kuli Mwembe yanga Temeke D'salaam,walijiramba sana kuutangazia umma wa ndani na nje kuwa Mh:ENL ni "Fisadi papa". Hivyo Mara hii nyinyi Chadema ndio mmesahau?Mbona mna Vichwa vya panzi!
Mh:ENL,kama alitoka CCM ni pale Kura za awali za uteuzi wa wagombea URAIS kwa tikiti ya CCM,zilipoonekana kuwa HAZITOSHI.
Ndipo DJ alipobadili gea angani kama alivyojinasibu nakumshawishi Mh:ENL kuingi kwenye "Kiford" chao kabla ya kumpeleka kwenye UTAKASO wa maji mengi na kupewa nafasi maalum ya kuiwakilisha CDM kugombea URAIS wa Tanzania,ambako na huko Kura hazikutosha.
Mh:ENL baadae aliwaaga CDM kwa ushauri mzuri wa kuwataka CDM msikipeleke Chama kwa misuli ya Uanaharakati kwani hakionyeshi dhamira ya kuweza kushika Dola.Baade akarudi nyumbani kwa AMANI kwa kuona KUMENOGA.
Hivyo mlikosa sabuni au mlikusudia kumchafua kule dampo la Mwembeyanga?
Muwe waungwana basi muombeni radhi tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom