Kwanini CHADEMA walimsafisha Lowassa?

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
2,325
Points
2,000

french

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
2,325 2,000
Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Nakumbuka miaka ila wakati Dr slaa yupo CHADEMA. CHADEMA 'ilimchafua' sana Lowassa. Kiukweli kabisa tuhuma alizopewa lowassa zilikuwa ni za kweli kwa asilimia kubwa (hii inathibitishwa kwa kujiuzulu kwake uwaziri mkuu) japo watu watasema mpaka athibitishwe na mahakama.

Baadae Mzee Lowassa akaja CHADEMA na wakaanza kumsafisha na kusema kama madai yale ni ya kweli basi mahakama ithibitishe.

Maswali yangu:

1. Kwanini CHADEMA ilijiamini kuwa wanaweza wakamchukua Lowassa kutoka CCM huku wakijua wememchafua, je walijua Watanzania ni rahisi kusahau, je Watanzania wanadanganyika kirahisi, je watz ni wavivu wa kufikiri na kihoji.

2. Kama CHADEMA walikuwa wanahitaji wapiga kura wengi, kama walivyosema wenyewe kuwa lowassa anakuja na mtaji wa wapiga kura mili 6.

Je wanachohitaji CHADEMA ni kujenga chama tu hata kama kitakuwa kimejaa mafisadi? Je CHADEMA wako tayari kujenga chama kwa namna yoyote ile hata kwa kuwadanganya innocent citizens?

3. Nikisema CHADEMA ni chama ambacho hakiaminiki tena baada ya tukio hili baya nitakuwa nomekosea?

Kitu walichokiganya CHADEMA ni cha hatari sana kama ingekuwa nchi jirani kama kenya naona CHADEMA ingekuwa ishakufa maana kingekuwa hakiamini mbele ya wananchi wa kenya 'wanaojielewa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
2,325
Points
2,000

french

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
2,325 2,000
Somo muhimu sana napenda kurudia na kurudia. MSIKALIE KIMYA Habari za utekaji. Habari muhimu sana hivi sasa ili kuokoa watu. Mtu yeyote akitekwa, mashuhuda, ndugu, jamaa na marafiki msikalie Habari. Kuogopa kusema ni kosa kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi swala la utekaji nalipinga kwa asilimia zote. Na hamna mtu analipenda wala kutaka kulisikia. Ila mimi nawaza tu kwanini CDM walijiamini kiasi kwamba walimkarinisha lowassa CDM na kumsafisha wakati walimchafua. Je CDM waliwazaje reaction ya wananchi ingekuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,704
Points
2,000

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,704 2,000
Mkuu hata mimi swala la utekaji nalipinga kwa asilimia zote. Na hamna mtu analipenda wala kutaka kulisikia. Ila mimi nawaza tu kwanini CDM walijiamini kiasi kwamba walimkarinisha lowassa CDM na kumsafisha wakati walimchafua. Je CDM waliwazaje reaction ya wananchi ingekuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini CCM nao baada ya Lowassa kwenda upinzani walimchafua na kumwita Fisadi kama walivyofanya Chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
6,181
Points
2,000

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
6,181 2,000
Mimi binafsi nina wasi wasi kuwa hata angeshinda CDM wangeweza kumdhibiti atupeleke CDM walikotaka na siyo EL alikotaka. Kwa ufupi nafikiri lilikuwa kosa la kiufundi hata kama walitarajia lingewapa serikali.
 
TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Messages
881
Points
1,000

TOHATO

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2016
881 1,000
Nachojua ni kwamba chama chochote kina tumia mbinu yoyote ile ili kipate nafasi ya kuingia madarakani. Kwa kipindi kile Lowasa alikuwa mwenye mvuto sana HIVYO wakaona ni fursa pia ya kuingia ikulu kwa wepesi.
Mifano pia tunaona vyama pinzani hadi huungana muda mwingine kuondoa chama tawala madarakani. Haimanichi chama pinzani huwa ni chema sana ,hapana nao wanawapungufu yao na hata kama watapata nafasi ya kuingia madarakani lazima mapungufu yawepo na wawepo wakosoaji vile vile au wapinzani wake.
Inaezekana Haikuwa njia sahihi kwako chadema kufanya vile ila kwa upande mwingine ilibidi wajisaulishe hata matamshi yao ilimradi chama kiingine utawalani. Hata leo twaona wabaya wa CCM wanapoamua kuingia CCM wakipokelewa kama huyo huyo Lowasa alivyorudi.
KIFUPI SIASA MCHEZO MCHAFU , NA USIMWAMINI SANA MWANASIASA
 
thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
6,362
Points
2,000

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
6,362 2,000
Chadema ni genge la wakora ,hawajui wanafanya nini hapa nchini
Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Nakumbuka miaka ila wakati Dr slaa yupo CHADEMA. CHADEMA 'ilimchafua' sana Lowassa. Kiukweli kabisa tuhuma alizopewa lowassa zilikuwa ni za kweli kwa asilimia kubwa (hii inathibitishwa kwa kujiuzulu kwake uwaziri mkuu) japo watu watasema mpaka athibitishwe na mahakama.

Baadae Mzee Lowassa akaja CHADEMA na wakaanza kumsafisha na kusema kama madai yale ni ya kweli basi mahakama ithibitishe.

Maswali yangu:

1. Kwanini CHADEMA ilijiamini kuwa wanaweza wakamchukua Lowassa kutoka CCM huku wakijua wememchafua, je walijua Watanzania ni rahisi kusahau, je Watanzania wanadanganyika kirahisi, je watz ni wavivu wa kufikiri na kihoji.

2. Kama CHADEMA walikuwa wanahitaji wapiga kura wengi, kama walivyosema wenyewe kuwa lowassa anakuja na mtaji wa wapiga kura mili 6.

Je wanachohitaji CHADEMA ni kujenga chama tu hata kama kitakuwa kimejaa mafisadi? Je CHADEMA wako tayari kujenga chama kwa namna yoyote ile hata kwa kuwadanganya innocent citizens?

3. Nikisema CHADEMA ni chama ambacho hakiaminiki tena baada ya tukio hili baya nitakuwa nomekosea?

Kitu walichokiganya CHADEMA ni cha hatari sana kama ingekuwa nchi jirani kama kenya naona CHADEMA ingekuwa ishakufa maana kingekuwa hakiamini mbele ya wananchi wa kenya 'wanaojielewa".

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
1,405
Points
2,000

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
1,405 2,000
Lowasa alipata kura milion 6 napoint,harafu magufuli jiwe joga alipata milion 8 kwakua hujui kura 1 ni shilingi 5000x 6milion zidisha kwamwaka igawe kwamwezi utapata jibu kwann lowasa.mnadhan kuzuiwa mikutano ccm walijua sasa tumeisha Elimu ya uraia inayotolewa najamaa hawa ,nahela wamepata zakutosha kilakitongoji watafika ccm itabaki maandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,530
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,530 2,000
Mkuu hata mimi swala la utekaji nalipinga kwa asilimia zote. Na hamna mtu analipenda wala kutaka kulisikia. Ila mimi nawaza tu kwanini CDM walijiamini kiasi kwamba walimkarinisha lowassa CDM na kumsafisha wakati walimchafua. Je CDM waliwazaje reaction ya wananchi ingekuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
..na kwanini ccm imeamua kumsafisha Lowassa wakati mlikuwa mkimbeza kuwa ni fisadi na mtu wa hovyo anayejisaidia ktk nguo zake?

..zaidi, kwanini mmemsafisha BABU SEYA na PAPII KOCHA watu waliopatikana na hatia ya KUNAJISI na KUBAKA watoto wadogo? Kwanini walipokelewa IKULU?
 
french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
2,325
Points
2,000

french

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
2,325 2,000
..na kwanini ccm imeamua kumsafisha Lowassa wakati mlikuwa mkimbeza kuwa ni fisadi na mtu wa hovyo anayejisaidia ktk nguo zake?

..zaidi, kwanini mmemsafisha BABU SEYA na PAPII KOCHA watu waliopatikana na hatia ya KUNAJISI na KUBAKA watoto wadogo? Kwanini walipokelewa IKULU?
Tangu lowassa arudi ccm lini umesikia ccm imemsafisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,390,029
Members 528,080
Posts 34,041,381
Top