Kwanini CHADEMA wakitajiwa maovu yao huwa wakali (wanao kishabikia)?

Isalia213

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,197
431
Nafatilia sana habari iwe tv, mablogs, magazeti, radio na hata kwenye mitandao ya kijamii huwa najiuliza mbona wapenzi wa chadema utakapozungumza maovu ya chama au viongozi wao huwa wakali na hawautaki ukweli hivi wanafikiria chama chao ni malaika hakina kasoro
 
comprehensiveness????
 
Mtu mwenye hekima na busara hukubali kukosolewa. Hiki ndicho kipimo halisi cha utu. Tatizo kubwa lilko kwa mashabiki, imani yao kuwa, viongozi wao kila wanalofanya ni sawa na hawastahili kukosolewa. Ukifanya hivyo utaambiwa umetumwa, mara mnafiki nk. Hata mitume waliotumwa na Mungu walikosolewa. Sembuse hawa?
 
Makalio, tangu lini chama kikawa kiumbe?
 
duh, we muongo sana , sipati picha CDM wanakuwaje wakali kwenye magazeti
 
Mtu mwenye hekima na busara hukubali kukosolewa. Hiki ndicho kipimo halisi cha utu. Tatizo kubwa lilko kwa mashabiki, imani yao kuwa, viongozi wao kila wanalofanya ni sawa na hawastahili kukosolewa. Ukifanya hivyo utaambiwa umetumwa, mara mnafiki nk. Hata mitume waliotumwa na Mungu walikosolewa. Sembuse hawa?
Unajuaje walitumwa na Mungu? Mbona kuna wanaojiita mitume mambo yao yanatia mashaka. Muulize Salman Rushidie akwambie.
 
Toa evidence usiongee kwa hisia usilete biashara ya kukamatana ugoni
 
Huyo hapo ni mmoja wapo unamuona anvyojifanya hajui? anataka umuwekee mifano ina maana kama kusoma hajui basi hata picha huimuongozi? Chadema jengeni Chama na muwe wavumilivu mnapopewa maovu yenuu
 
Weka links kadhaa hapa kujustfy hoja yako tuzipitie then tuchangie,otherwise hoja yako niyakufikirika hence ni takataka
 
Mfano halisi ni the way mnavyo reply this uzi,wanafanana sana sana na marehem 'Ngangari' enzi zake!
 
cha maana muungwana hutoa hoja zenye mifano ili jamii ipime na pia tumemeshatoka kwenye hoja hewa wakati umepita na naamini hoja nzito ndo hushinda na wala sio hisia.
 
Mtoa mada ana hoja ambayo inatakiwa kuchangiwa. Humu JF kwa mfano ikisema kitu chochote ambacho kinahusu CDM basi watu huja juu bila kutoa hoja. Mfano kuna thread moja ilikuwa na kichwa cha habari kilichosema CHADEMA inahusika na mgomo wa madaktari lakini ndani ya thread jamaa aliandika maneno ya kuonyesha kwamba CDM haihusiki. Watu waliposoma heading tu wakaanza mashambulizi kwa sababu tu ya mahaba na CDM.Inakuwa kana kwamba CDM haifanyi makosa ambayo yanatakiwa kukosolewa na kuna watu humu wanadhani wao ndio wenye hakimiliki ya CDM.
 
Back
Top Bottom