Kwanini Chadema ni Hot Cake?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,272
47,268
Ukweli usiopingika watu wengi siku hizi wanazungumzia matukio ya Chadema
Media zote
Mitaani
Viongozi mfano kina Chiligati kuwafukuza wabunge wa CDM
Tafiti nyingi zinaongelea Chadema
Wanafunzi watoa tamko kwa CDM
Kina Bana wa REDET
CUF yaiponda CDM
NCCR kuipeleka CDM mahakamani.
Dovutwa Chadema hakifai kuwa kiongozi wa upinzani bungeni
Hata humu JF thread nyingi ni za CDM
nk

Ingawa CCM ni chama kikongwe lakini kinaonekana kufunikwa na CDM.
Why this time,

tujiulize.
 
Kina Chiligati wanadhani wanataka kuiua Chadema kumbe ndiyo wanaistawisha.
 
Wamejijengea heshima sana kwenye maeneo ambayo walikuwa na wabunge hadi kupelekea watanzania wote kuikubali
 
Chadema ndio sauti ya wananchi; ndio advocate ya wananchi; kwa sababu watu wamechoka ccm, ila wachache walionunuliwa na baadhi wanaogopa; Chadema kiboko chao wafisadi; the truth shall make us free. Kidumu Chadema na zidumu sera sahihi za chadema
 
Kizuri chajiuza ns kibaya?

There vou are!! CHADEMA ni chama cha ukweli cha kisiasa kinachoongozwa kwa misingi uwazi, uzalendo na ukweli na kwahiyo ni threat kwa CCM na mafisadi. Mbali ya kuwa mafisadi, CCM ni chama cha kisanii, kinachoongozwa na waswahili Mkwere na Makamba!! Hao ndio wenye chama, wengine ni peripherals tu na ndio maana wakisema leo tunataka spika mwanamke hakuna wa kupingwa, wakisema Bashe sio raia lazima kila mtu akubaliane!! Ni aibu kwa chama kilichoasisiwa na J.K. Nyerere kuendeshwa shaghalabaghala!!!!!. Wanachama, wapenzi na washabiki wa CCM achaneni na upuuzi huo wa watu wawili kushika hatamu na kufanya urais kama family issue!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom