Kwanini CHADEMA na wafuasi wake wanakuwa kitu kimoja na serikali kwenye suala la sensa?

sasa si robotatu ya muslims watakuwa makafir kwa mtaji huo?

Ingekuwa uislam ni dini ya mufti angewatoa watu kwenye dini.
La kushangaza tu mitume wa mungu wame muomba allah awafishe hali ya kuwa wao ni waislam. It means hawana uhakika na wao kwamba wataingia katika ufalme.
La kushangaza huyu mufti (mnafiki mmoja tu) yeye amesha jipa uhakika na ataingia katika ufalme wa allah na anathubutu kuwatoa waislam wengine kwenye dini ya allah utafikiri ni dini yake.
Uislam bana sio kiivyo kama dini za kijanja janja. Hii ni dini ya allah tu, mufti yeye ni ka mtu tu ambako kakiboa sisi waislam tunamchana tu uislam haungalii ( alafu wala haumuhitaji mtu ila sisi waja ndo tunaitaka uislam ili tufanikiwe kuwa katika ufalme wa allah na kuokoka na adhabu za allah.
Mufti uislam haumtaki ila yeye ndo anautaka.
Sasa kama sisi ndo tunaitaka huu uislam nani kakupa idhini ya kuwafuta watu kwenye hii dini.
Huyu mufti laaana tu inamsumbua na njaa
 
Kuwa mufti alafu ukawa mnafiki mmoja tu unadhani jipya ndugu.
Hawa wa aina wapo tu tokea enzi hizo za mitume walikuwepo.
Hamumkumbuki yuda escariot betrayed jesus.
Sasa dini kuwa betrayed leo mnashangaaa nini?
Serikali inapenda mamufti wa aina hii bahasha na wali tu wanauza dini zao kwa sahani ya waliiii na kusifiwa.
Usijali dada ujue uislam kwanza alafu utaona huyu mufti alivyo laaaana na jinsi gani anasubiri moto wa adhabu ya allah.
Amesahau aya ya mungu kwamba
Jueni kwamba maisha ya dunia ni mchezo tu na ya kipita kama mvua tu tulilaghaiwa na matamanio ya dunia mali na kukifakharisha tu. na maisha haya ni ya mda mchache sana.
Sasa muone hata hajui kama fainal yake imeshafika iko kipindi cha pili any time game inakwisha.
Atabaki na matendo yake tu ndo yatakayomsaidia, mali na watoto havitamfaaa wala kumsaidia chochote!
Vyote vilivyo mlaghai au alivyo chuma dunia ataviacha na vitamilikiwa na wengine.
Dada wakumuonea huruma ni huyo mufti dada yangu ameuza dini kwa cheo na uongozi na kujifakharisha tu.
Lazima awe accountable kwa hilo dada angu
 
Nimejaribu kufuatilia kwenye vyama vingine vya siasa nchini kama TLP, NCCR Mageuzi, CUF, UPDPD, ADC, ni vyama viwili tu pinzani CCM na Chadema ndio washirika wakubwa kwenye suala la sensa tena cha ajabu wanaopinga zoezi la sensa wanapambana wafuasi wa Chadema.
 
Allah ni mkubwa sana ni mwingi wa kusamehe alafu ni mjuzi wa kuadhibu.
Allah is fair in judgement.even an atom of good deeds and an atom of sin will be judged.
How about the huge sin this so called mufti has done? What about the fair judgement of this huge sins from these kind of human being? Imagine and consider then say sorry to the dear mufti for what he is expecting from the almighty allah
 
Nimemsikia John Heche wa Bavicha anasema Chadema hawana imani na serikali ya CCM na wala hawawezi kukubali vijana wao waende kuhojiwa polisi, anasema serikali ya CCM ni ya wauaji, Heche anatoa wito kwa vijana Morogoro walioletewa barua na polisi wasitoa ushirikiano wowote, lakini kwenye sensa wapo pamoja kuna kitu gani.
 
Censor ni lazima kwa serikali inayofikisha huduma kwa raia wake inawajali.
Na censor si lazima kwa serikali ambayo haifikishi huduma wala haijali wananchi zake wala haina mpango wa kuwa jali ba kuwahudumia.
Nchi ambayo rights to live education health shelter nutrition clothed inafikisha kwa wananchi ni lazima ifanyike na kutoshiriki ni kuikosea serikali sio nchi kama hii yetu.
Cost za censor vipi zinge fanyiwa prioritized na kutumika kwenye ishu critical zaidi zinazo wa face watanzania kama afya elimu chakula, salary na mengi neyo kama afya na ajira zingesaidia watanzania wengi kuliko kuhesabiwa na kubaki katika record na vitabu na magazetini kwamba watanzania wako milioni 70 afu basi. Just a figure in books of record in statics and gat no any further advantage to the tanzania poorer popln
 
We Ritz ni mdini sana,mchochezi na mbaguzi...watu kama wewe ndio wamesababisha dunia kukosa amani &vifo.

Ref:Somalia,Nigeria,Afghanistani,Lebanon,Syria,Algeria,Sudan n.k
 
Then the next ten au 20 years ingefanyika hii censor.ingekuwa na hasara gani au ingekwamisha nini hapa tanzania?
Challenge to thinkers from the personal perspective and not from books and notes concerning to censor in general
Discusss and try to be fair and considerate gentleman
 
Chadema is a political party like any other which has its main goal like any other party.(every one knows the main goal)
Note:
Wanachofanya au kujaribu kufanya ni kutafuta fursa ya kuweza ongeza wapiga kura ili siku moja wa meet their goal like any other party is doing.
The thing easy ni kufanya lolote ku attract members waone wao ndio best na hawa si best wote ni kutafuta ile nafasi at last the benefit is all theirs (natiOnal cake huwa inaliwa na wachache tu wa kutumia wengi ambao ni wajinga)
Hili hamfikiriiiii jamani.
Imagine chadema wanashinda wanaongoza nchi hii what will be your share or things will be the same as always that your effort will be the only thing for you to survive
 
Nimejaribu kufuatilia kwenye vyama vingine vya siasa nchini kama TLP, NCCR Mageuzi, CUF, UPDPD, ADC, ni vyama viwili tu pinzani CCM na Chadema ndio washirika wakubwa kwenye suala la sensa tena cha ajabu wanaopinga zoezi la sensa wanapambana wafuasi wa Chadema.

Mufti akikusikia ole wako.Laiti kama nchi hii uislam usingrongozwa na Mufti Simba basi ungekuta maadui wa nchi wameshamwaga damu.
 
Nimemsikia John Heche wa Bavicha anasema Chadema hawana imani na serikali ya CCM na wala hawawezi kukubali vijana wao waende kuhojiwa polisi, anasema serikali ya CCM ni ya wauaji, Heche anatoa wito kwa vijana Morogoro walioletewa barua na polisi wasitoa ushirikiano wowote, lakini kwenye sensa wapo pamoja kuna kitu gani.

Sheikh wa mkoa wa DSM Mhe. Alhadi Mussa alisema muislam anayekataa kuhesabiwa Hana Adabu kabisa.
 
Mkuu majuzi tu tulimsikia Dr Slaa, akisema hawezi kutoa usharikiano wowote kwa serikali ya CCM sababu Usalama wa Taifa wanataka kumuuwa, sasa vipi tena leo hao hao ambayo unasema wanataka kukuuwa unashirikiana nao kwenye sensa si bora Chadema wangekaa kimya kama vyama vingine vya siasa na kuwaachia CCM na sensa yao.

CDM inatii viongozi wa dini na hapa inamtii kiongozi mkuu wa waislam Mufti Simba kwa tamko lake kwamba wasiohesabiwa ni Makaffir.
 
Ritz, hiyo tabia ya ku-post thread na kukimbia inakudhalilisha. Mstaarab ni yule anayeanzisha thread na kwenda nayo sambamba. Kuna mtu kauliza, lini CDM walitoa tamko rasmi juu ya sensa? Una hakika gani baadhi ya hao waislam waliogomea sensa hakuna mshabiki/mwanachama wa CDM? BAKWATA na baadhi ya taasisi za kiislam zilizowasihi msigomee sensa unawaweka kundi gani? Mbona umekaa kimya kuhusu misimimamo ya vyama vingine vya siasa kama vile CUF na TLP katika suala hili la sensa? Kiufupi, kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, wengi wa waislam na wasio waislam wanawachoka kwa fujo zenu za kipuuzi. Always, mna-divert mijadala yenye maslahi kwa Taifa kwa madai yenu ya kipuuzi yasiyo isha.
 
Ritz, hiyo tabia ya ku-post thread na kukimbia inakudhalilisha. Mstaarab ni yule anayeanzisha thread na kwenda nayo sambamba. Kuna mtu kauliza, lini CDM walitoa tamko rasmi juu ya sensa? Una hakika gani baadhi ya hao waislam waliogomea sensa hakuna mshabiki/mwanachama wa CDM? BAKWATA na baadhi ya taasisi za kiislam zilizowasihi msigomee sensa unawaweka kundi gani? Mbona umekaa kimya kuhusu misimimamo ya vyama vingine vya siasa kama vile CUF na TLP katika suala hili la sensa? Kiufupi, kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, wengi wa waislam na wasio waislam wanawachoka kwa fujo zenu za kipuuzi. Always, mna-divert mijadala yenye maslahi kwa Taifa kwa madai yenu ya kipuuzi yasiyo isha.

Acha uvivu wa kusoma ebu pitia post moja moja utakutana na na majibu yako yote mie nimkimbie nani JF? au kwa kukusaidia Dr. Slaa, alitoa tamko Igunga na Morogoro akiwataka wafuasi wote wa Chadema wajitokeze kwa wingi kwenye zoezi la sensa, vipi wewe bado hawajakuheshabu.
 
Wanabodi,

Siku zote Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, wamekuwa wapingaji wakubwa wa serikali ya chama cha mapinduzi CCM imefikia wakati mpaka viongozi wa Chadema Dr. Slaa, pamoja na Freeman Mbowe kutamka kuwa hawana imani na serikali pamoja na vyombo vya usalama, John Mnyika naye kutamka serikali ya Kikwete ni dhaifu.

Chadema walipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, Chadema walipinga mchakato mzima wa katiba, Chadema walipinga mpango wa kilimo kwanza, Chadema walikuwa wanaipinga serekali kwenye mgongoro wa madaktari, Chadema walikuwa wakiipinga serikali kwenye mgogoro wa walimu.

Lakini lilipokuja suala la sensa Chadema na viongozi wao pamoja na wafuasi wao karibia wote walikuwa bega kwa bega na serikali ya CCM kushirikiana kufanikisha zoezi la sensa na Chadema pamoja na wafuasi wao ndio wamekuwa wa kwanza kupambana na yeyote anayepinga zoezi la sensa.

Kwa nini Chadema wameungana na serikali ya CCM kwenye zoezi la sensa ni maslahi yapi wanayoyapata kama chama cha siasa.
nadhani hujui maana ya sensa.
 
Mkuu chama,

Makamanda wanasema adui yao mkubwa ni CCM lakini cha kushangaza huyu adui yao wapo naye bega kwa bega kweye zoezi la sensa.

Mkuu Ritz,
waongo wakubwa utapingana na mtu anayekuandikia cheque kila mwisho wa mwezi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom