johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni?
Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu mwanamke niwapongeze sana.
CHADEMA na CCM sijajua wanafeli wapi pamoja na ukubwa wa vyama vyao au ndio mfumo dume umetamalaki.
Maendeleo hayana vyama!