Kwanini CHADEMA na CCM haziwaamini wanawake kwenye nafasi za juu za uongozi kama Mwenyekiti, Makamo, Katibu mkuu na manaibu wake?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,513
141,246
Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni?

Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu mwanamke niwapongeze sana.

CHADEMA na CCM sijajua wanafeli wapi pamoja na ukubwa wa vyama vyao au ndio mfumo dume umetamalaki.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni?

Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu mwanamke niwapongeze sana.

Chadema na CCM sijajua wanafeli wapi pamoja na ukubwa wa vyama vyao au ndio mfumo dume umetamalaki.

Maendeleo hayana vyama!
CCM unayoishabikia na kiipigia Chapuo kila siku kuna mwanamke gani yupo hizo nafasi za juu kichama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa, uwezo na wanaokidhi vigezo.
Na sio huko tuu, hata huku

P
 
Kama waliweza kuingia tatu bora ya wagombea urais wa CCM utasemaje hawana sifa?!
Kiswahili kigumu!
P
 
Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni?

Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu mwanamke niwapongeze sana.

Chadema na CCM sijajua wanafeli wapi pamoja na ukubwa wa vyama vyao au ndio mfumo dume umetamalaki.

Maendeleo hayana vyama!
Matapeli in operation
 
Ee kweli..!! Nimeangalia safu yao nzima walioichagua sijaona...sijaona..embu ngoja niendelee kuichunguza labda naweza kumkuta walao mjumbe wa mtaa...!!
 
Sio kwamba hawana sifa bali wanahofia kudhalilishwa, Wema alinusako pua akaambulia pumbu za Mbowe Mugabe!
Hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa, uwezo na wanaokidhi vigezo.
Na sio huko tuu, hata huku

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba hawana sifa bali wanahofia kudhalilishwa, Wema alinusako pua akaambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kitu cha bure.
Wema alipojiunga tuu Chadema, sisi waona mbali na wasoma trends tulitoa angalizo

P
 
Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni?

Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu mwanamke niwapongeze sana.

Chadema na CCM sijajua wanafeli wapi pamoja na ukubwa wa vyama vyao au ndio mfumo dume umetamalaki.

Maendeleo hayana vyama!
Tulijifunza kwa eva.
 
Wanawake wapo wengi na wenye ujuzi wa juu kabisa Nasita kutaja majina hata Jeshi la Polisi Kuna dada yangu kutoka Itaka Mbozi alikuwa Course maalum China anafaa kuwa IGP na viatu vika Fit tofauti na tulie nae si huyo tu wako wengi
 
..ila na nyinyi ccm jamaa yenu ana DHARAU sana wanawake.

..mara utamsikia, " ..nampenda sana Januari. Ningekuwa na binti ningempa amuoe.."

..au kauli, "...huyu waziri sura yake nzuri lakini anachapa kazi.."

..kwa kweli CCM inatia aibu kuwa na viongozi wanaodharau wanawake kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom