Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

Mpaka akili ziwakae sawa sijui ni lini. Unajua kama kuna mtu amekuweka kwenye pua zake, hifadhi yako ni ndani ya pua zake, akikupenga iko shida kubwa, akili inavurugika. Kufa kwa Jiwe ni kuwa mmepengwa kutoka kwenye pua zake . Ona unayoandika sasa! kma vile huna akili kabisa. CDM isidai katiba? tume huru? johnthebaptist mmepengwa kweli kweli! Salary Slip
Bavicha mnachekesha sana aisee!

Mtu anawashauri cha kufanya wewe unakuja na jiwe. Huyu jiwe inaonekana aliwavuruga sana nyie watu ndio sababu sasa hivi mmeamua kuiunga mkono ccm ya Samia. Na 2025 tunategemea mtakuwa nasi pamoja kumpigia kampeni mama yetu
 
Na sasa wamejiingiza kichwakichwa kwa mzee wa msoga waliyemuita dhaifu.

Lazima awashughulikie kisayansi!
 
Hahahahahahaha upinzani wa kisanii hauwezi kukuogopesha kuwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi Bwashee! Muziki wa Chadema pale Lumumba wanaujua. Eti Chadema ilishajifia chuma chetu kimeimaliza Chadema 🤣🤣🤣🤣🤣 meza dawa Bwashee acha longo longo!
Ni bora tukajua tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja kuliko kuwa na upinzani wa kisanii!
 
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.

Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.

Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?

Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Mzee baba we unaitaka kwani?

Ova
 
Hahahahahahaha upinzani wa kisanii hauwezi kukuogopesha kuwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi Bwashee! Muziki wa Chadema pale Lumumba wanaujua. Eti Chadema ilishajifia chuma chetu kimeimaliza Chadema 🤣🤣🤣🤣🤣 meza dawa Bwashee acha longo longo!
Chadema hii inayodhibitiwa na Daktari Mahera peke yake na kusambaratika?!!
 
Thubutuni kuweka Katiba mpya ya rasimu ya Tume ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi hapo ndiyo mtakwenda kaburini na kupotea kabisa katika anga za kisiasa nchini. Chadema imo mioyoni mwa Watanzania. Chadema si chama cha hovyo hovyo kama ACT wasaliti au ADC.

Na ndio maana kamwe hamtaletewa katiba mpya kwenye sahani!
 
Hahahaaaa........!

Mwenyekiti wa NEC anateuliwa na mwenyekiti wa CCM.

Mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na mwenyekiti wa CCM.

Wasimamizi wote wa uchaguzi anateuliwa na mwenyekiti wa CCM

Msajili wa vyama vya siasa anateuliwa na mwenyekiti wa CCM

Sasa kuna upinzani hapo?
Kwa sasa tupo na mama bega kwa bega... Hebu mtuache maana hata nyinyi mlitusumbua sana kipindi cha chifu wenu
 
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Henje basi operesheni ya kwanza ya Chadema ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.

Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.

Ndio nauliza Chadema wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?

Rip mchungaji Christopher Mtikila!

we jamaa umeokoka ? khee hongera
 
Back
Top Bottom