Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.

Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.

Ndio nauliza CHADEMA wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?

Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Je unafikiri ni CHADEMA tu ndiyo yenye jukumu la kudai katiba mpya na Time guru ya uchaguzi? Mbona kuna na vyama vingine kaka, au vyenyewe jukumu lao ni lipi?
 
Chadema ni bure kabisa!

Bwashee ukisoma kitabu cha mzee Mwinyi utagundua kuwa mpinzani ni lazima uwe na uhafifu wa akili.

Aisee. Sasa mbona unapoteza muda na nguvu kwa jambo usilo na imani nalo? Btw, CHADEMA hawana monopoly ya upinzani wala mzee Mwinyi sio authority wa upinzani. Hata wewe unaweza kuwa.
 
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.

Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.

Ndio nauliza CHADEMA wanataka CCM ndio iwaletee katiba mpya kama ilivyoleta huu mfumo " mfu" wa vyama vingi vya siasa?

Rip mchungaji Christopher Mtikila!
Tujenge kwanza utamaduni wa kuheshimu katiba iliyopo kabla ya kufanya chochote kwa vile hata ile mpya itahitaji kuheshimika. Vinginevyo ni upotevu wa raslimali fedha kuanzisha kitu kipya wakati kilichopo kinahitaji kuheshimika.
 
yule iblis mkuu
Bavicha mnachekesha sana aisee!

Mtu anawashauri cha kufanya wewe unakuja na jiwe. Huyu jiwe inaonekana aliwavuruga sana nyie watu ndio sababu sasa hivi mmeamua kuiunga mkono ccm ya Samia. Na 2025 tunategemea mtakuwa nasi pamoja kumpigia kampeni mama yetu
 
Back
Top Bottom