Kwanini CHADEMA haihamishii makao yake makuu Dodoma?

Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
KWANI MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI WALIOPEWA VIWANJA WAMEJENGA NA KUHAMIA?
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Tumalize kwanza siasa za chuki Political repression
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Mwenyekiti na mtunza fedha ni 'zile zile za kule kule' unategemea kutajengwa ofisi ya makao makuu kweli?
 
CCM ilishawahi kujenga ofisi yake hata moja? Maana zote hizo ni mali ya umma.

CDM hongera kwa ujenzi wa ofisi zenu zinazoendelea kwa kila kanda kwa nguvu zenu wenyewe.
 
Kwanini mnakuwa wagumu kuelewa kama makao makuu ya CDM yako Ubeligiji na makao makuu madogo yako Canada? Mawasiliano kwa spaces
 
Ofisi zote kubwa za taasisi mbalimbali nchini zimehamia ama ziko mbioni kuhamia makao makuu Dodoma zikiwemo pia balozi mbalimbali.

Sijajua ni kwanini chama kikuu cha upinzani yaani Chadema bado kimeng'ang'ania mtaa wa Ufipa, Kinondoni Dar es Salaam wakati hayati Magufuli alishawaahidi kuwapa kiwanja Dodoma.

Mungu ni mwema wakati wote.
Katika mada yako kuna maneno wako mbioni, tuambie kama chadema wako mbioni au hawako mbioni.
 
Back
Top Bottom