Kwanini CCM wasiige vyama vya upinzani wenyeviti wake Kitaifa kukaa madarakani muda mrefu?

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
Si vibaya kujifunza kutoka kwa chama kikuu cha upinzani kwani mimi naona wanafanya jambo zuri sana kwa maslai mapana ya Chadema, kwani Freema Mboe atakuwa na miaka zaidi ya 30 ofisini.
Hivyo CCM nao waige wampe Magu hata miaka 20 au 30 tu kama wanavyofanya vyama vya upinzani kwani huu uwe utamaduni wetu tena umeanzishwa na una hasisiwa na chama kikuu cha upinzani Tanzania hivyo hakutakuwa na mtu mwenye akili kichwani kupinga hili.

Historia inaonyesha Mzee Mte na Bob Makani walikaa ofisini kwa katiba ya democrasia ya kubadilishana vijiti ila alipokuja Freeman yeye akaondoa ukomo wa madaraka na si jambo baya kwani ndiye kamada mkuu wa anga katika kizazi hiki aliyebaki Chadema, minashauri wana CCM kwenda na wakati huu na mahitaji ya watu kwa kumwacha Mzee Magu kukaa ofisini kwa miaka 20 au 30 kufanya kama wapinzani wanavyofanya na ukizingatia Magu ameiga mengi kutoka huko kama kupambana na ufisadi.

Na hili litakuwa zuri kwani Freema Mboe ni kamanda wa kizazi hiki na CCM wamfanye Magu kuwa Jembe la kizazi hiki huu pia ni ushindani mzuri sana katika siasa zetu.
Ikumbukwe kumekuwa na dabo standadi katika uendeshaji wa vyama Tazania kwani CCM imekuwa na utaratibu wa kuwa na ukomo wa madaraka katika uongozi wakati vyama vya upinzani hakuna kitu kama hiki.

Mimi nina pinga kwa hili Chama Cha Mapinduzi kwa kutokwenda na wakati na mahitaji wa wakati husika katika kizazi chake na si busara kufanya hivyo kwa wapenzi na wanachama pili kwa maslai mapana ya chama hakuna ubaya kwenda na jamii nzima inavyo fanya .

Mimi kwa mtazamo wangu nadhani sasa saa imefika chama hiki kikongwe kibadilike kutokana na wakati kama mchezaji bado ni mzuri kama Magu aendelee tu hili kubalansisha stori za kisiasa Tanzania. Ni aibu sana hata wapinzani wenyewe wanaicheka CCM kwani wao wanaenda kidigitali na CCM ipo kianalogia si vizuri kwa mashabiki na wapenzi wa chama tuigane kwa mazuri kama haya anayofanya mfalme wa anga Mzee Freeman Aikaeli Mboe na wenzake si mabaya.
Na msinione mjiga wana CCM na wana janvi sosayati yoyote haiwezi kuwa staginanti nilazima iweinabadirika badirika kuendana na wakati na mahitaji ya wakati husika. Kwani CCM kun'gang'ania uzamani ni sifa?
Inasikitisha sana ukiwaangalia akina Mhs. Dr Bashiru na Mhs. Polepole wanaonekana ni vijana wadogo sana lakini katika hili wamekuwa na kauli za kizee sana ni jambo la kushangaza.

Kipekee nampongeza kamanda mkuu na mfalme wa anga Mzee Freemani kwa kuendana na mahitaji ya watu wake na Mungu amtangulia katika uchaguzi mkuu ndani ya chama chake na ni matumaini yangu pia atashinda kwa kishindo.
Pia nipende kumpongeza Agustino Lyatonga Mrema kwa kukaa ktk kiti kwa muda wote TLP Mungu amzidishie.

Pia nampongeza sana James Mbatia naye kwa kuondoa ukomo wa madaraka kwa kukaa kwa muda wote madarakani NCCR Mageuzi.
Pongezi pia kwa Prof. Haruna Lipumba naye amekaa kwa miaka zaidi ya 30 sasa kutokana na mahitaji ya kizazi hiki.
Sitaki kumsahahu John Momose Cheyo huyu pia nampongeza sana kwa kuwa katika kiti cha uenyekiti tangu 1992 hadi leo karibu miaka 30, nampongeza.

CCM vipi? Ni nani aliye waloga ya kuwa siasa ni lazima kubadilishana vijiti tu chini ya jua ni lazima. Je katiba yenu ilishuswa kama masahaf au iliandikwa na wanadamu kama wapinzani? Kwanini mnakuwa wajinga hivi hasa katika kipindi hiki cha ushindani wa kizazi hiki? Mimi nataka kuhoji jambo moja kwenu kuwa mlipokea sheria ya kupokezana vijiti ambayo haitabadilika hata wakati ukita mabadiliko. Na. Je mkibaki na huo uzamani mnapata faida gani katika uwanja wa kizazi hiki?

Nakama hamtaki kumuiga Freemani Mboe na wanasiasa wenzake wa hapa Tanzania basi mwigeni hata Angel Markel wa Ujerumani yeye aliingia ofisini mwaka 2005 Nov, 22 hadi leo yupo ofisini kama kiongozi wa nchi Kansela wa Ujerumani, ambapo utaratibu wao ni miaka 4 unagombea tena 4 ukimaliza unaenda kucheza na wajukuu. nampongeza sana Angel Markel.

CCM waige kwa Jinping wa China yeye alisha maliza muda wake wa mika 10 tangia miaka 3 hiliyopita chama chake kimesema kwa makisio kuwa ataendelea hadi mwaka 2035, Nampongeza sana Jinping XI. (na siasa za ujamaa na kujitegemea tuliiga china)

Nakama CCM inawapuuza hawa wote iige kwa aliyekuwa Raisi wa Marekani wa 32 aliyekuwa akiitwa Roosvert Franklin Delano yeye alikaa ofisini vipindi zaidi ya 3 na kwa bahati mbaya alifia ofisini akiwa Raisi, CCM acheni ushamba imetosha twendeni na wakati.

Soma ujadili.
 
Binadamu hana umilele bali roho ndiyo yenye umilele baada ya kutengana na mwili.
 
Kuna wengi bado ni watoto Kwenye siasa hawajui uhalisia wakiambiwa chadema wanajua toka kianzishwe mbowe ndio mwenyekiti.
Mkumbuke kulikuwa Edwin Mtei na Bob Makani pia sasa huyo mbowe amekaaje miaka 30!
 
Usisahau kuna Mbatia na Mrema pia na mwenye ACT Zitto Kabwe(labda Membe amunyangámye)
 
Naamini kwa mawazo yangu hujamuelewa mleta uzi, yeye nilivyo muelewa mimi anazungumzia uongozi wa chama na sio uongozi wa nchi sababu hao wote aliowalinganisha ni viongozi wa vyama vya siasa na sio nchi
Kwa hili la Magufuli kutawala milele nakuunga mkono!
 
Hivyo sio vyama ni miradi ya watu.

Mfano, mzuri ni duka la reja reja, ulishawahi kuona wapi mtu akafungua duka lake halafu akaruhusu mwingine kulimiliki??
 
Back
Top Bottom