Kwanini CCM wanafanya ziara vijijini tu?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Naomba Kuuliza wakuu, mbona ziara nyingi kama sio zote za CCM ambazo ninaongozwa na ndugu KINANA pamoja bwana NAPE naona wanaenda vijijini sana? Kwanini hawaendi mijini?

Ni kwamba vijijini ndipo kuna wanaCCM wengi? au wameanza vijijini kisha watafata mijini?
 
CCM inawafuata watanzania popote walipo. Huwezi kuwafananisha na wale "watani" wanaofanya mikutano Ars mjini tu.
 
No research no ryt to speak wanachokifanya kilianzia dar kwa siku nne je hapa napo kijijini jipange ndo uongee acha kukurupuka
 
Wewe dada jaribu kujenga hoja na kuelimisha wajinga kama wewe ambao hawajui kitu chochote.unabisha tu ili upate buku 7 huku watoto wako hawana karamu na daftari shuleni.jenga hoja au leta mada ya kuelimisha sio tu umekaa kama bundi jinga buku 7.usiaribu mada jenga hoja intarahamwe mbungi wewe.
 
Hapa napo ni kijijini?
kumbuka hapa ilikuwa jangwani.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    53.9 KB · Views: 122
Juzi wametokea kwa Lisu kwahiyo jimbo la Lisu lote kijinini? Kabla ya hapo walifanya,ilala,kinondoni na temeke napo ni kijjini?
 
No research no ryt to speak wanachokifanya kilianzia dar kwa siku nne je hapa napo kijijini jipange ndo uongee acha kukurupuka

watu wa Dar na vijijini hawana tofauti ni watu wanorubunika kirahisi sana. kwa mamntiki hiyo dar ni kijijini tu.
 
No research no ryt to speak wanachokifanya kilianzia dar kwa siku nne je hapa napo kijijini jipange ndo uongee acha kukurupuka

ni hivi, sehemu ambayo ubwabwa , utumbo ,vichwa na miguu ya kuku ni issue ccm hufanya mikutano ,
 
Hapa napo ni kijijini?
kumbuka hapa ilikuwa jangwani.

nakumbuka siku ile malori yalisomba wanaccm kiasi kikubwa kuna picha wakati mkutano umeisha kulikuwa na vita maana kuna watu waliahidiwa buku kumi wakakosa , walikataa kupanda mabasi na malori yaliyoleta.Kujaza uwanja wa jangwani kwa kuletwa na malori na mabasi , maanke umati huo ulilipwa uliuje kujaza uwaja wa jangwa bali haikuwa dhamira yao kushabikia ccm.maake bila pesa wasingekuja.
 
asante KWA KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA .
 
Naomba Kuuliza wakuu, mbona ziara nyingi kama sio zote za CCM ambazo ninaongozwa na ndugu KINANA pamoja bwana NAPE naona wanaenda vijijini sana? Kwanini hawaendi mijini?

Ni kwamba vijijini ndipo kuna wanaCCM wengi? au wameanza vijijini kisha watafata mijini?

Mjini wajanja uoni karibu miji yote imechukuliwa na upinzani ,wanafata wajinga vijijini .lakini kwa bahati mbaya kwa sasa ata vijijini wameamka .kazi kwao ccm
 
Back
Top Bottom