Kwanini CCM Kinaigawa Mikoa Iliyoendelea na wapinga CCM na kuacha Pwani, Lindi, Moro?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Ukiangalia Mikoa Iliyovunjwa ni ile yenye Uchumi Bora na Upinzani kwa CCM wakati Mkoa Wa Pwani, Lindi na Morogoro ni mikubwa lakini haijaendelea kama Mwanza, Shinyanga, Arusha, Mbeya kiuchumi na hata Rukwa

Mkoloni alifanya hivyo Divide and Rule your Enemies.
Kama CCM inataka Maendeleo ya Wananchi ingeigawa Mikoa Ambayo ni Mikubwa lakini ni nyuma Kimaendeleo?

Ata Ukiangalia Mikoa hiyo haiitaji kuvunjwa ili kuendelea kiuchumi ni inahitaji Viongozi Bora
 
Back
Top Bottom