Elections 2010 Kwanini CCM-Kikwete Hawaelewi Watanzania? Sera Zinawashinda na Uongozi Pia?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Tunaona Hivi Karibuni CCM Wanachagua Spika wa Bunge. Hiki Chama ni Kichekesho Tupu. Katika Wananchi Wote na Hao Wanachama Wao Kila Leo Wanayarudia Majina Yaleyale Style ya Recycle Ideas. Anna Abdalah na Anna Makinda Wao Ndio Wengine Tumewasoma Kwenye Vitabu vya Historia ya Tanzania. Hii ni the Best CCM Can Do for Tanzania? Hao Wanaotajwa Kuongoza Bunge Wanaonekana Sio Effective Kabisa na Tutegemea Nini Bungeni? Thats Why CCM is Not Relevant to Tanzanians. Ukifanyika Uchaguzi Chama Kinatakiwa Kisome Wananchi Wanasema Nini Juu ya Sera Zao na Direction ya Nchi. What Suprise Most of Us, CCM Inataka Kuendelea na Hayo Hayo Makosa Wananchi Hawayataki. Sisi Wananchi Tunaenda Miaka Mingine Mitano Zaidi ya Kubuluzwa Tena. Kitu Kimoja Tunafahamu Kikwete Hatabadilisha Style Yake ya Kusafairi na Tour all Countries Again, This Time Sijui Atatembelea Nchi Zipi. Kingine ni Kwamba Budget Itatoka na Mawaziri Watatumia Hizo Funds Kujengea Majumba na Kusomeshea Watoto Zao Nje ya Nchi. Nchi Haina Transparency ya Aina Yeyote na Vyombo vya Habari Serikali Wanalipwa Kutetea Maovu. Wananchi Tuendelee Kupigania Haki na Kuexpose Haya Maovu kwa Wananchi.
 
Tunaona Hivi Karibuni CCM Wanachagua Spika wa Bunge. Hiki Chama ni Kichekesho Tupu. Katika Wananchi Wote na Hao Wanachama Wao Kila Leo Wanayarudia Majina Yaleyale Style ya Recycle Ideas. Anna Abdalah na Anna Makinda Wao Ndio Wengine Tumesoma Kwenye Vitabu vya Historia ya Tanzania. Hii ni the Best CCM Can Do for Tanzania? Hao Wanaotajwa Kuongoza Bunge Wanaonekana Sio Effective Kabisa na Tutegemea Ni Nini Bungeni? Thats Why CCM is Not Relevant to Tanzanians. Ukifanyika Uchaguzi Chama Kinatakiwa Kisome Wananchi Wanasema Nini Juu ya Sera Zao na Direction ya Nchi. What Suprise Most of Us, CCM Inataka Kuendelea na Hayo Hayo Makosa Wananchi Hawayataki. Sisi Wananchi Tunaenda Miaka Mingine Mitano Zaidi ya Kubuluzwa Tena. Kitu Kimoja Tunafahamu Kikwete Hatabadilisha Style Yake ya Kusafairi na Tour all Countries Again, This Time Sijui Atatembelea Nchi Zipi. Kingine ni Kwamba Budget Itatoka na Mawaziri Watatumia Hizo Funds Kujengea Majumba na Kusomeshea Watoto Zao Nje ya Nchi. Nchi Haina Transparency ya Aina Yeyote na Vyombo vya Habari Serikali Wanalipwa Kutetea Maovu. Wananchi Tuendelee Kupigania Haki na Kuexpose Haya Maovu kwa Wananchi.
Mkuu, punguza makali ya hasira, this is too pity, tafadhali usiongezee neno hapa , wengine tuna roho nyepesi!
Dawa ya wababu hawa ilikuwa ni kuwatoa tu in the last elections.
Matendo uliyotaja hapo juu yanadhihirisha kwamba akili zao za kufikiri zimefikia ceiling level, na hakuna jipya linaloweza kutegemewa toka CCM tena.
Anna Makinda amekuwa katika baraza la mawaziri na nafasi za juu serikalini tangu late seventies!, kweli wasomi wetu wanakuwa degraded kwa dharau ya ajabu!..
Kwa ufupi , kilichofanyika bungeni jana ni masikitiko na aibu!
 
tunasubiri wabunge wa ccm wang'amue kuhusu kitendawili cha hawa vikongwe jeuri wenye roho nyeusi zilizonakshiwa rangi ya ufiisadi.
 
waacheni tu wajimalize wenyewe ili ikifika 2015 sisi tunakuwa na kazi ya kuwasukuma tu...
 
unajua JK ana akili chakavu sana..yaani hana vision kabisa..hivi anna makinda,anna abdallah kweli ndo machaguo yao?yaani hawa wameshazeeka na kufubaaa.kama huyu Anna makinda yaani kukaa kote serikali bado anayumba tu na ki Diploma chake ambacho kwa sasa ni equivalent na certificate za semina za mama lishe
 
unajua JK ana akili chakavu sana..yaani hana vision kabisa..hivi anna makinda,anna abdallah kweli ndo machaguo yao?yaani hawa wameshazeeka na kufubaaa.kama huyu Anna makinda yaani kukaa kote serikali bado anayumba tu na ki Diploma chake ambacho kwa sasa ni equivalent na certificate za semina za mama lishe

Ki Diploma cha nini hicho? Watu bana..!
 
Back
Top Bottom