Kwanini ccm inawanyima maji wapinzani na kuishia kuwapa kiu tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini ccm inawanyima maji wapinzani na kuishia kuwapa kiu tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saider, Oct 14, 2010.

 1. s

  saider New Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mnajua watanzania jinsi hawa wapinzani wanavyoweweseka na nguvu ya CCM?nimetafakari vya kutosha ndio maana nikaamua kufunguka namna hii nimegundua mambo yanayofanywa na ccm wapinzani wengi wanayatamani wangekuwa wamefanya wao basi sifa zote zingewamiminikia wao kuna swali la kujiuliza hivi kwanini MBOWE aligombea uraisi 2005 na baada ya kushindwa 2010 akaamua kumwachia slaa hivi mnadhani ni kukomaa kwake kisiasa ndio kuliko mfanya amwachie slaa?ila jibu ni moja tu ameridhika utendaji wa raisi aliyekuwepo madarakani hivyo akaona hana sababu ya kuendelea kumpinga ndio alipofunguka rasmi na kutangaza kugombea ubunge ili kama akipata nafasi hiyo ashirikie na KIKWETE wafanye kazi ya pamoja na wala sio vinginevyo ukweli ndio upo hivyo kazi za ccm zinaeleweka na zinakubalika ndio maana wapinzani wanapagawa wanakosa la kuongea wanabaki kupayuka tu bila kujali wayasemayo kwa wananchi ila nashukuru baadhi yao wameanza kukubali kama ndugu MBOWE aliyeamua angalau apate hata ubunge ili naye apate kufanya kazi na serikali ya kikwete sasa kazi kwao wasioamini ila muda utafika watakubali tu wajiulize yupo wapi MLEMA?MBOWE je? tunamsubiri SLAA na LIPUMBA nao wajisalimishe
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  laiti ungejua kuwa ccm yako ipo icu inangoja kwenda mochwari. Juzi juzi tu mlikuwa mnataka kutoana ngeu kwa ajili ya ufisadi. Hakuna mtu anamwanmini mwenzake hata kumwachia glasi ya maji kutokana na ufisadi. Ndio ccm aliyowaachia nyerere.

  Ngoja uchaguzi uishe muanzwe vita ya urais wa 2010, ndipo ccm itakapokufa rasmi.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa wanakuwa na matatizo gani ya kuandika?, hakuna paragraph wala nukta wala koma, si mchezo kuwasoma na kuwaelewa, au ile lugha nyingine huwa haina matumizi ya hizo alama?
   
 4. M

  Maluo Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi nadhani hujui kusoma alama za nyakati za siasa
   
Loading...