Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawaongei sana Uchaguzi huu wakati wana mengi ya kusema?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,570
15,316
Hata kwenye mapambano ya ndondi zisizo rasmi mtaani jamaa ambaye huwa haongei sana au kujibujibu huwa ana uhakika na ushindi. Muongeaji sana huwa anakula ngumi moja tu chali anazimia na kupepewa.

Nadhani hizi ndio sababu:

1: Wamekomaa hawahitaji kuongeaongea.
2: Wanaamini katika mikakati yao kuwa inatekelezeka.
3: Wametafiti wapinzani wao na kugundua hawana uwezo kabisa.
4: Wamejiandaa ndio maana hakuna watu wao wanaenguliwa kwa kutokukidhi vigezo.
5: Wanaamini Mgombea wao anasubiriwa kwa hamu na wananchi wampongeze kwa makubwa aliyowafanyia.

Kwa hili nawapongeza. Mambo yenu yameenda kisomi awamu hii.
 
Wanaongea kwa vitendo huoni wapinzani wanavyokatwa kila mahali
Hili LA kukatwa liangaliwe kwa Akili pevu.

Mbona wale wabunge wakomavu hawakatwi? Mbowe,lema, msigwa,mdee etc

Inamanisha wenye uelewa upinzani ni wabaguzi na kule hakuna Team work.

Kwa nini wasingetafuta mawakili wa chsma kusaidia wageni ns wasio na uwezo kujaza kwa uhakika.
Na Kama wanaonewa si wakati refaa mkuu
 
Kiwanga nayeye sio mkomavu?
 
Jiwe hakutegemea kama atapata ushindani awamu hii tangu nimemsikia aliposema ataibadilisha Tanzania kuwa kama ulaya mpaka sasa kimya
Amepima upepo ameona hana uwezi kabisa wa kushindana na lisu kwa sera nawaza sijui jiwe atawaambia nini wananchi
Sio tabia take kukaa kimya hivi.
Huu ni mkakati mzuri, ili atengeneze hamu ya kusikilizwa .watu wammiss.
 
Matendo ni zaidi ya maneno!

Kwa nini upige kelele wakati vitendo vinafanya kazi kikamilifu!

Have you heard of the phrase " empty vessels make the most noise"
 
matunduizi,

1. CCM hawaheshimu wapigakura, wanajisabu kwa kuweka mapingamizi na kuenguwa wagombea halali.

2. CCM hawaheshimu sheria, wamegeuza vyombo vya serikali sehemu ya ushindi wao.

Ni aibu tupu
 
Wanategrmea Polish wataongea Nini sasa? Wameongea for give years years wanaropoka tu, bado hawajiamini
 
Hivi unajua kuwa ukimfukuza mwizi kimya kimya bila kelele mwizi ndio huanza za kupiga kelele za kuomba msaada..??
 
(1) Ukienda nyumbani kwa jamaa unaemdai ukamwambia kuwa nimekuja kuchukua Deni la hela yangu ninayo kudai !

Halafu ukaona hiyo jamaa unaemdai amekusikia na akatoka na kwenda chooni akakaa hata robo saa tu akirudi hapo sebuleni akitaka kukupa hela yako alipe lile Deni kataa usipokee na mwambie wewe na yeye urafiki basi na hutaki hiyo hela mwambie nimekuja tuvunje urafiki fullstop!

(2) katika maisha ukiambiwa utachekea chooni ujuwe kuwa ni kuwa Hilo Jambo utavuna aibu
--- CCM safari hii ya kwenda 28102020 wanachekea chooni hawana jipya Zaidi ya historian ya flyover,SGR na bwawa la stiggler's gorge
--- CCM ubwabwa tu hao
 
Hili LA kukatwa liangaliwe kwa Akili pevu.

Mbona wale wabunge wakomavu hawakatwi? Mbowe,lema, msigwa,mdee etc

Inamanisha wenye uelewa upinzani ni wabaguzi na kule hakuna Team work.

Kwa nini wasingetafuta mawakili wa chsma kusaidia wageni ns wasio na uwezo kujaza kwa uhakika.
Na Kama wanaonewa si wakati refaa mkuu
Hawakatwi mkuu wanauza majimbo
 
Hata kwenye mapambano ya ndondi zisizo rasmi mtaani jamaa ambaye huwa haongei sana au kujibujibu huwa ana uhakika na ushindi. Muongeaji sana huwa anakula ngumi moja tu chali anazimia na kupepewa.

Nadhani hizi ndio sababu:

1: Wamekomaa hawahitaji kuongeaongea.
2: Wanaamini katika mikakati yao kuwa inatekelezeka.
3: Wametafiti wapinzani wao na kugundua hawana uwezo kabisa.
4: Wamejiandaa ndio maana hakuna watu wao wanaenguliwa kwa kutokukidhi vigezo.
5: Wanaamini Mgombea wao anasubiriwa kwa hamu na wananchi wampongeze kwa makubwa aliyowafanyia.

Kwa hili nawapongeza. Mambo yenu yameenda kisomi awamu hii.
Washaonge miaka 5 yote sasa hivi wanaratibu utekelezaji wa hujuma.
 
Back
Top Bottom