Kwanini Canaan alilaaniwa na sio Ham?!

Kumekua na ongezeko la Tafsiri za ajabu ajabu za biblia wenyewe mnaita Theory
zingine zinafurahisha..

Kwahiyo Shem na yafeth waliufunikaje uchi wa baba yao sasa
 
Mwanzo 49
5 Simeoni na Lawi ni ndugu;Panga zao ni silaha za jeuri.
6 Nafsi yangu, usiingie katika siri yao,Fahari yangu usiungane na kusanyiko lao,Maana katika ghadhabu yao walimuua mtu,Na kwa ukaidi wao walikata mshipa wa ng?ombe;
7 Ghadhabu yao na ilaaniwe, maana ilikuwa kali,Na hasira yao, maana ilikuwa haina huruma.Nitawagawa katika Yakobo,Nitawatawanya katika Israeli

Mkuu hapa vp mbona kuna waisrael wamelaaniwa hapa ama kwa kuwa imetoka kwa Muisrael mwenzao?? Ikiwa na maana muisrael akimlaani muisrael mwenzake its ok ila mtu asiye musirael akimlaani muisrael ndio haifanyi kazi??

Simply una maana waisrael ndio wenye haki pekee ya kulaani mtu??
Mkuu hiyo laana imetoka kwa baba yao mwenyewe aliyeitwa Yakobo(Israeli). Fahamu kwamba Yakobo ambaye alibadilishwa jina na MUNGU na kuitwa Israeli, alikuwa pia anatambulika kama Nabii. Sasa kama nilivyosema Nabii wa MUNGU akitoa laana, laana hiyo inakuwa imetoka kwa MUNGU mwenyewe, Vivyo hivyo na baraka pia.

Ukitaka kujua hiyo laana ilikuwa inatolewa kwa niaba ya MUNGU mwenyewe kupitia kinywa cha Yakobo, soma tena huo mstari wa saba hapo nilipoweka alama nyekundu; "7..........nitawagawa katika Yakobo, Nitawatawanya katika Israeli". Hapa utona Yakobo ambaye ndiye Israeli anaongea kwa niaba ya..., kwa niaba ya MUNGU, ni MUNGU peke yake mwenye uwezo wa "kuwagawa na kuwatawanya". Hivyo laana hii ilitoka kwa MUNGU mwenyewe kupitia kinywa cha Yakobo ambaye alikuwa ni Nabii wa MUNGU.

Na ukitaka kujua kuwa huu ulikuwa ni Unabii ni pale ambapo utaona Unabii huu ulikuja kutimia, maana ni kweli kabisa kabila la Simeoni na Lawi yalitawanywa katika Israeli. (Soma YOSHUA 21:1)

Kama nilivyosema mwanzoni, ni BWANA MUNGU peke yake mwenye uwezo wa kuwalaani wana wa Israeli na laana hiyo ikatimia. BWANA MUNGU anaweza kuwalaani kwa kutumia kinywa cha Nabii, kama vile alivyotumia kinywa cha Nabii Yakob, Musa, Eliya, Isaya, Yeremia n.k.
 
Mkuu maelezo yako nimeyaelewa ila Son of Gamba alisema HAKUN mtu anaweza mlaani muisraeli yeyote na hiyo laana ikafanya kazi ndio nkamuuliza mbona Musiraeli Huyo lawi na shimeon walilaaniwa?? Yeye amesema wenye nguvu ya kulaani Israel ni MUNGU pekee ndio nikauliza je hapa Muisrael (LAWI) alipolaaniwa na baba yake ina maana waisraeli wanaweza kufanya kazi ya Mungu??

Hapo ndio sijamuelewa mkuu
Mkuu zitto junior hii hoja nimeshaijibu, soma comment yangu namba [HASHTAG]#225[/HASHTAG] utaona.
 
NA KWANINI AWE KAANI PEKE YAKE ILIHALI HAM ANAWATOTO WANNE. KWA NADHARIA YAKO HII LAANA ILIBIDI IENDE KWA WATOTO WOTE WA 4. SIO KWA KAANANI PEKE YAKE
Mkuu NaughtyGuy hii hoja nimeshaijibu kwa kirefu sana kwenye comment yangu namba 103. Tafuta hii comment kwenye huu uzi na usome ni kwanini Kaanani alilaaniwa na siyo wale wengine.
 
Mkuu hiyo laana imetoka kwa baba yao mwenyewe aliyeitwa Yakobo(Israeli). Fahamu kwamba Yakobo ambaye alibadilishwa jina na MUNGU na kuitwa Israeli, alikuwa pia anatambulika kama Nabii. Sasa kama nilivyosema Nabii wa MUNGU akitoa laana, laana hiyo inakuwa imetoka kwa MUNGU mwenyewe, Vivyo hivyo na baraka pia.

Ukitaka kujua hiyo laana ilikuwa inatolewa kwa niaba ya MUNGU mwenyewe kupitia kinywa cha Yakobo, soma tena huo mstari wa saba hapo nilipoweka alama nyekundu; "7..........nitawagawa katika Yakobo, Nitawatawanya katika Israeli". Hapa utona Yakobo ambaye ndiye Israeli anaongea kwa niaba ya..., kwa niaba ya MUNGU, ni MUNGU peke yake mwenye uwezo wa "kuwagawa na kuwatawanya". Hivyo laana hii ilitoka kwa MUNGU mwenyewe kupitia kinywa cha Yakobo ambaye alikuwa ni Nabii wa MUNGU.

Na ukitaka kujua kuwa huu ulikuwa ni Unabii ni pale ambapo utaona Unabii huu ulikuja kutimia, maana ni kweli kabisa kabila la Simeoni na Lawi yalitawanywa katika Israeli. (Soma YOSHUA 21:1)

Kama nilivyosema mwanzoni, ni BWANA MUNGU peke yake mwenye uwezo wa kuwalaani wana wa Israeli na laana hiyo ikatimia. BWANA MUNGU anaweza kuwalaani kwa kutumia kinywa cha Nabii, kama vile alivyotumia kinywa cha Nabii Yakob, Musa, Eliya, Isaya, Yeremia n.k.
Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha Suleimani

SWALI: Je kama sauti ya Nabii ni sauti ya Mungu kwanini zipingane

MUNGU: Uwa wote
Kumb 20:17
17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
18 wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.

NABII: waacheni wacanaan wengine
Joshua 9:15
15 Naye Yoshua akafanya amani pamoja nao, na kufanya agano nao, ili kwamba waachwe hai; na wakuu wa mkutano wakawaapia

NB: kumbuka hawa wagibeoni sio waliachwa tu kwa huruma la hasha.... bali walidanganya kuwa sio wacanaan na ndio joshua aliwaacha sasa Je kama sauti ya Nabii na Mungu ni moja iweje watofautiane more so baada ya kudanganywa ina maana Mungu alizidiwa maarifa na wagibeoni kiasi adanganywe hadi ageuze Hukumu kwa wacaanan ??
 
Haya mavitabu walioyaandika sijui hawakuona makosa ya kizembe Kama hayo.....hasa biblia yenyewe kwa yenyewe inakinzani Kati ya mwandishi na mwandishi....
 
Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha Suleimani

SWALI: Je kama sauti ya Nabii ni sauti ya Mungu kwanini zipingane

MUNGU: Uwa wote
Kumb 20:17
17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
18 wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.

NABII: waacheni wacanaan wengine
Joshua 9:15
15 Naye Yoshua akafanya amani pamoja nao, na kufanya agano nao, ili kwamba waachwe hai; na wakuu wa mkutano wakawaapia
Ila mkuu ukisoma vizuri ukianzia yoshua 9:3 utaona jinsi wenyeji wa Gibeoni walivyofanya kwa hila kuwaadaa wana wa Israeli na wana waisraeli walifanya kiapo nao na kuwaapia kwa BWANA ila baadae walipogundua mistari ya mbele unaona walinung'unika ila walishindwa kuwaangamiza kwani waliogopa walishafanya agano nao na wakaweka na kiapo na hayo
NB: kumbuka hawa wagibeoni sio waliachwa tu kwa huruma la hasha.... bali walidanganya kuwa sio wacanaan na ndio joshua aliwaacha sasa Je kama sauti ya Nabii na Mungu ni moja iweje watofautiane more so baada ya kudanganywa ina maana Mungu alizidiwa maarifa na wagibeoni kiasi adanganywe hadi ageuze Hukumu kwa wacaanan ??
mkuu ilo ndo moja la kosa ambaloYoshua alifanya na lilisababisha hadi kukawa na mapigano baina ya wana wa Iraeli na wenyeji wao waliowaacha ambayo yalikuja kutokea baadae baada ya Yoshua kufa.
NB;ujue Nabii nae ni mwanadamu ndomana hata Musa aliyeweka msingi wa dini ya kiyahudi alifanya kosa na likamfanya asiingie kanani pamoja na kizazi chote kile kilichotoka misri kilizungushwa zungushwa hadi wote wakafa wasingie kanani kwaio MUNGU hakuzidiwa maarifa bali wana waisraeli walifanya kosa wenyewe kutokutii agizo la BWANA MUNGU WAO
 
Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha Suleimani

SWALI: Je kama sauti ya Nabii ni sauti ya Mungu kwanini zipingane

MUNGU: Uwa wote
Kumb 20:17
17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
18 wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.

NABII: waacheni wacanaan wengine
Joshua 9:15
15 Naye Yoshua akafanya amani pamoja nao, na kufanya agano nao, ili kwamba waachwe hai; na wakuu wa mkutano wakawaapia

NB: kumbuka hawa wagibeoni sio waliachwa tu kwa huruma la hasha.... bali walidanganya kuwa sio wacanaan na ndio joshua aliwaacha sasa Je kama sauti ya Nabii na Mungu ni moja iweje watofautiane more so baada ya kudanganywa ina maana Mungu alizidiwa maarifa na wagibeoni kiasi adanganywe hadi ageuze Hukumu kwa wacaanan ??
Mkuu elewa kwamba MUNGU anapomtumia mwanadamu kufikisha ujumbe wake au kusema neno la kinabii haina maana kwamba huyo mwanadamu anakuwa anatawaliwa na nguvu za Kimungu kiasi kwamba hawezi kuwa na maamuzi yake binafsi kama mwanadamu. Hata kama mtu fulani ni Nabii, mtu huyu bado anakuwa na uhuru wake binafsi wa kufanya au kuamua nini cha kufanya. Ile free will inakuwa vile vile na wala haibadiliki.

Mfano mzuri ni Nabii Yona, huyu aliongea na MUNGU na akaagizwa kwenda Ninawi, lakini yeye akakataa na kuamua kwenda sehemu nyingine. Hii inatonesha kuwa Yona licha ya kwamba alikuwa ni Nabii lakini bado alikuwa na maamuzi yake binafsi. Mfano mwingine ni Musa, licha ya kwamba yeye kuwa Nabii wa kipekee kabisa ambaye alikaa mlimani kwa siku arobaini akiongea na BWANA MUNGU, lakini bado Musa alikuwa na maamuzi yake binafsi ambayo yalipelekea MUNGU kumkasirikia na kumwambia kuwa hatavuka mto Yordani na kuingia nchi ya ahadi.

Unapokuwa Nabii wa MUNGU haina maana kuwa maamuzi au matendo yako yote yanakuwa ni ya MUNGU, hapana, ni kwamba unaendelea kuwa binadamu yule yule, isipokuwa tu MUNGU anakuwa akikutumia kufikisha ujumbe wake. Na katika kufikisha ujumbe wake, hakulazimishi ufanye lolote lile, inakuwa ni hiari yako, ufikishe huo ujumbe au ukatae kuufikisha huo ujumbe. Hata siku moja BWANA MUNGU hawatumii manabii wake kama programmed robots, anawatumia kwa hiari yao wenyewe, on their own consent with a conscious mind.

Hivyo basi kwa case ya Yoshua, ni kwamba Yoshua alipewa maagizo na MUNGU, lakini kwasababu za kibinadamu yeye hakuyatimiza kikamilifu yale maagizo. Siyo kwamba sauti ya MUNGU na sauti ya Nabii zilipingana, hapana, kilichotokea ni utekelezaji wa maagizo. Alichotakiwa kufanya Yoshua ni kutii tu na kuwaangamiza wale alioagizwa awaangamize. Lakini fahamu kuwa MUNGU ni mwenye huruma sana, hivyo wakati mwingine, kwa sababu ya huruma na upendo huwa anabadilisha maamuzi yake.

Mkuu zitto junior kwa maswali yako naona unalazimisha kumwelewa MUNGU, unauliza maswali mengi kwanini alisema hivi, kwanini alifanya vile, kwanini aliruhusi hichi, sijui kwanini alimlaani huyu na kumbariki yule,.. haiwezekani, haiwezekani, nimesema before, hakuna mwanadamu wala Malaika mwenye uwezo wa kumwelewa BWANA MUNGU. Tunachotakiwa kufanya sisi kama Wanadamu ni KUMTII tu basi na siyo KUMWELEWA. No man can understand GOD!

Soma Isaya 40:28 na Warumi 11:33
 
Angalia katika koo ama soma bandiko la laana za kifamilia... Unakuta waliofanya kosa ni wengine kabisa lakini taabu wanaipata mpaka kizazi cha tatu... Connection ya damu
mkuu hili suala linanipa gagaziko sana..nifahamuvo mimi ni kuwa Mungu ni Mungu wa Haki kila mja atalipwa alilolitenda,kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe sasa iweje tena tuaminishwe kuwa kosa la mwingine abebeshwe dhambi au laana mwingine kiukweli hapa napatwa na gagaziko ukizingatia Mungu hashindwi na lolote kwanini atumie formula ya kuadhibu mwingine kwa kosa alilofanya mwingine
ZINGATIO:MUNGU NI MUNGU WA HAKI NA KILA MMOJA ATALIPWA KULINGANA NA ALILOTENDA KWA MUJIBU WA DINI ZOTE KUU IKO HIVO
 
Mwandishi wa huu uzi, aidha hajui chochote kuhusu tafsri ya scriptures ama amemeza tafsir toka chanzo kinachopotosha
 
Okay nikiri sijui maandiko kama ww ndio maana nikaleta mada hapa ili wajuzi mnisaidie interpretation maana najifunza je unaweza kunielewesha kwanini canaan alilaaniwa sio Ham.... Tumeskia maoni ya wengi je yako ni yapi ili tusipotoke tena.

Karibu
 
mkuu hili suala linanipa gagaziko sana..nifahamuvo mimi ni kuwa Mungu ni Mungu wa Haki kila mja atalipwa alilolitenda,kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe sasa iweje tena tuaminishwe kuwa kosa la mwingine abebeshwe dhambi au laana mwingine kiukweli hapa napatwa na gagaziko ukizingatia Mungu hashindwi na lolote kwanini atumie formula ya kuadhibu mwingine kwa kosa alilofanya mwingine
ZINGATIO:MUNGU NI MUNGU WA HAKI NA KILA MMOJA ATALIPWA KULINGANA NA ALILOTENDA KWA MUJIBU WA DINI ZOTE KUU IKO HIVO
Kuna ishu ya damu hapa kizalia kinahusika sana
 
"Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. Akasema, Na alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake. Akasema, Na atukuzwe BWANA Mungu wa Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake. Mungu akamnafisishe Yafethi. Na akae katika hema za Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake."
MWA. 9:24‭-‬27 SUV

zitto junior Son of Gamba Mshana Jr
Hiyo mistari hapo juu( Mwanzo 9:24-27) Wakati Mzee Nuhu anatoa laana kwa Kanaani, nime-notice kuwa ndugu wa Kaanani(brothers) wanaonyeshwa hapo ni Yafethi na Shemu wakati hao ni watoto wa Nuhu na Hamu, nimeona kuna mtu akizungumzia kuhusu kurekebishwa kwa makusudi(editing) ya kilichotokea hapo, na story zaidi ilikuwa inamuhusu Nuhu na Hamu, and hao ndugu zake(yafethi na Shemu).
 
Back
Top Bottom