tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 673
Japo umerudisha swali ntakusaidia kidogo..
Kushushwa kwa Quran na Kuhusu Habari ya Msikiti wa Al Aqsa ambao upo Jerusalem ni vitu viwili tofauti kabisa.
Quran imepokelewa Saudia si Jerusalem..
Basi hapo Al Aqsa itakuwa kuna mafundisho ya kina Nabii Mussa yalifatwa ili kupata uhalali wa Quran.