kwanini bunge lilipuuza kuunda kamati ya kutathmini kilichotokea Mtwara?

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
313
Wanajeshi pamoja na polisi walifanya mambo ya kinyama sana mtwara kipindi kile wananchi wanapiga kusafirisha gesi. Lakini haikuundwa kamati maalumu kubanisha madhaifu ya watendaji wetu wa serikali yaliyopelekea hali ile.
Waziri wa nishati na madini alipashwa aachie ngazi mapema kama alivyonya Mh. Kagasheki. Na hii ni kutokana na kauli zake pamoja na kutowapa elimu ya kutosha wananchi wa Mtwara kabla ya kuleta wawekezaji.
 
...mabomu ya arusha na uhalifu wa mtwara hauna maslahi kwa majangiri na mafisadi...
 
...mabomu ya arusha na uhalifu wa mtwara hauna maslahi kwa majangiri na mafisadi...
 
Back
Top Bottom