Kwanini BoT wanahesabu hizi coins kwenye mzunguko?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Napitia moja ya report za BoT ila kuna kitu nimekiona pale kwenye coins and notes in circulation.

Inanionesha kwamba kuna hizi coins za Sh. 1, 5, 10, 20 kwamba bado zipo kwenye mzunguko ilihali ukiangalia stock yake ni insignificant.

In total stock ya hizo coin hazifiki hata milioni 100 sasa kwanini hawaziondoi?

1573816185575.png
 
Back
Top Bottom