mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,854
Bodi ya mikopo,imekua ikitoa matanko Mengi kuhusu kukamatwa au kusakwa wadaiwa sugu.hyo mbinu ni ya kutumia pesa zaidi kwani posho watapata sana na serkali itakua neno kubana mayumizi haljatekelezwa ..kwanini wasiweke akaunti peupe au kwenye magazeti ya serkali ili watu waweze kulipa kulingana na vipato vyao...
Mana naamini kutokana na ugumu Wa kupata ajira..wahitimu wanaweza kua remote areas kwnye utaftaji Wa riziki japo kdgo wasiweze kufka kwa ofisi za HSLB.
Kuweka akaunt wazi kuna wapunguzia nini?
Mana naamini kutokana na ugumu Wa kupata ajira..wahitimu wanaweza kua remote areas kwnye utaftaji Wa riziki japo kdgo wasiweze kufka kwa ofisi za HSLB.
Kuweka akaunt wazi kuna wapunguzia nini?