Kwanini bodi ya mikopo wamechelewesha pesa za special facaulty nasp sua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini bodi ya mikopo wamechelewesha pesa za special facaulty nasp sua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by massau, Feb 19, 2012.

 1. m

  massau Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bodi ya mikopo kuchelewesha pesa za vitivo kinyume na mkataba kwani pesa hizo ziliitajika mwanzoni mwa s emister ili zifanye kaz yake lakini bodi bado hataki kutoa cheque hii imesababisha wanafunz weng kusoma katika mazingira magumu hivyo tunaomba hsleb wafanye hima kabla hakijanuka sabab tumekaa kimya mda mrefu kama wanataka tuwe kama ud au udom,ngoja tumalize mithan ya semister
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Misuse of JF! Why don't you guys contact Bodi of mikopo?
   
Loading...